Jumanne, 12 Agosti 2014

MAGUFULI AWATAKA WANANCHI KUTOWAFUMBIA MACHO WANAHARIBU MIUNDOMBINU .


Timothy Marko
Waziri wa ujenzi  Jonh Magufuli amewataka wananchi kutunza miundo mbinu iliyopo ikiwemo barabara ili kujiletea maendeleo  nakuwa kemea vikali wasafirishaji wa mizigo wa naotumia magari makubwa ambayo yanauzito mkubwa kupita kiasi kinachoweza kupitika katika bara bara hizo na kusisitiza kuwa wengi wawasafirishaji wa bidhaa ikiemo magari aina yamaloli ya mekuwa yakiharibu bara bara hizo ikilinganishwa nauwezo wabarabara hizo hali inayopelekea barabara nyingi kuharibika. .
Akizungumza kwenye ziara ya wizara hiyo aliyoifanya mkoani pwani mapema hii leo, Waziri Jonh Magufuli amesema kuwa asilimia ishirini natano magari yanayopita kwenye bara bara hizo yamekuwa yakiharibu bara bara kwa hapa nchini nakusa babisha serikali kulazimika kuzifanyia matengenezo bara bara hizo kila mwaka .
‘’Asilimia ishirini natano ya magari yamekuwa yakiharibu bara bara kwakubeba mizigo yenye tani nyingi kupita kiwango kili chowekwa na barabara hizo wakati wenzetu katika nchi ya marekani nitani thelatini nasita (36)Wakati sisi Tanzania tume ruhusu hadi tani hamsini nasita 56.6 ‘’Alisema waziri Jonh Magufuli .
Waziri Magufuli alisema kuwa ukiona bara bara inabonyea hali hiyo imetokana na baadhi yamagari kupitisha kiwango cha mizigo ambacho kisichotakiwa na mamlaka ya wakala wa bara bara (Tanroad).
Katika hatua nyingine amewakemea watendaji wa mizani kuto pokea rushwa kwani vitendo hivyo nikinyume cha sheria nakubainisha ipo mitambo maalumu ambayo imewekwa itayowabaini watendaji wanaokiuka sheria ikiwemo kwa magari yenye uzito kupita kiasi kuruhusiwa .
‘’hadi sasa tuna tarajia kujenga barabara kwa kiwango cha lami zaidi ya kilometa 11,154 kwa nchi nzima nina wapongeza benki ya dunia kufadhili miradi mbalimbali ya bara bara’’Aliongeza  waziri waujenzi JONH Magufuli.






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni