Jumanne, 13 Mei 2014

UNDP YAIOMBA JUMUHIA YAKIMATAIFA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA KUKOMESHA BIASHARA YA UWINDAJI HARAMU WA MENO YATEMBO

Timothy  Marko.
Shirika lamaendeleo laumoja wamataifa (UNDP)Iimeitaka serikali ya Tanzania kushirikiana najumuhia ya kimataifa katika kuendeleza mapambano dhidi yaujangili ambao umendelea kushika kasi hapa nchini.
Akizungumza leo jijini,nawandishi wahabari mkurugenzi mtendaji wa shilika lamaendeleo laumoja wamataifa (UNDP) Hellen Clark amesema Kuwa uhalifu ikiwemo vitendo vyaujangili nauuzwaji wa pembe za ndovu umeshika kasi nakuweza kuleta hasara kubwa hasa kwa nchi zinazo endelea kwakuaharibu utajili wa rasmali hizo kwa vizazi vijavyo.
‘’vitendo vyakiahalifu vyaujangili vimesababisha upotevu wa rasmali nyingi katika nchi zinazoendelea ikiwemo tembo kwaajili yavizazi vijavyo hali inayotokana nakuwepo kwakukithiri kwavitendo vya rushwa nakudhohofisha usalama wataifa hali inayopelekea umasikini mkubwa kwa vizazi vijavyo’’alisema Hellen Clark.
Hellen clark alisema vitendo vyaujangili vinaweka jamii ya wanawake nawatoto katikahali yaumasikini mkubwa nakuchangia hali yamaisha kuwa ngumu .
Alisema kuwa sheria madhubuti zinatakiwa kutungwa nakuwekewa usimamizi kubwa ilikuweza kudhibiti vitendo vya uwindaji haramu wa rasmali za wanyamaikiwemo tembo .
Clark alitaka Tanzania iungane najumuhia yakimataifa katika kupambana na vitendo vyauwindaji haramu wa tembo ilikukweza kukomesha vitendo vyaujangili hapa nchini.
‘’naiomba shirika laumoja wamataifa iendelee kuisaidia Tanzania katika mapambano ya vitadhidi yaujangili kwakutunga sera na sheria mbalimbali za mazingira kwakushirikiana nawadau mbalimbali katika kukomesha biashara haramu’’alisema Clark.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni