Timothy Marko
Makamu wa rais wa Tanzania Mohamed Ghalibu Bilali amewaongoza mamia katika kumuuaga aliyekuwa balozi wa Malawi nchini Prossey Chidumile Chibayonga aliyefariki hivi karibuni .
Akitoa rambirambi hizoleo kwa serikali yamalawi waziri wamambo yanje Benard Membe amesema kuwa kwakipindi cha siku tatu Tanzania imegubikwa nawingu zito lakumpoteza hayati Prossey chibyayonga ambaye alikuwa ni mchapakazi katika kazi zake.
‘’wengi mtakubali kuwa hayati Prossey Chibyayonga alikuwa mchapakazi nalifanyakazi kwa bidii nili pompigia Rais alikuwa aje lakinikutokana shughuli nyingi aliniagiza nimpe pole Rais wamalawi kutokana namsiba uliyotokea ‘’alisema waziri Benard membe .
Waziri membe alisema kuwa serikali yatanzania taendelea kushirikia na na Malawi katika kipindi kigumu chakumpoteza aliyekuwa balozi wa Malawi Prossey Chibayonga .
Alisema kuwa prossey Chibayonga alikuwa ni mwanamke sio kiongozi tu bali aliweza kutumiwa na mungu katika shughuli za kikanisa alikuwa ni muumini mzuri.
Benard membe aliongeza kuwa march 14 mwaka huu serikali ya Tanzania ilisaini mkataba wa ushirikiano wa kikanda na Malawi katika uanzishwaji miradi mbalimbali baina yanchi hizo mbili .
‘’Tanzania namalawi niwatu wamoja natumaini tutakutana kesho tukisafiri namwili wamarehemu chibyayonga katika mji wa blataya nchini malawi’’alisema waziri membe.
Muwakilishi kutoka Malawi Naibu balozi wamalawi nchini Kwacha Chisiza alisema kuwa prossey Chibyayonga alikuwa nimtumwenye umuhimu mkubwa kwani alikuwa muhadhiri wa Malawi nakuongeza kuwa kifochake kimeleta pigo kubwa kwa serikali yamalawi.
Kwacha Chisiza alisema chanzo chakifo chabalozi huyo nikutoka na kusumbuliwa namaradhi yakifua hali iliyompelekea kifo chake baada yakupelekwa hospitalini .
‘’Hayati chibyayonga alifariki baada yakuumwa kifua alipo pelekwa hospitalini ndipo mauti ikamkuta ‘’alisema chisiza
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni