Timothy Marko
Hali ya
chakula nchini imezidi kuimarika kufuatia mavuno mazuri ya msimu uliopita
wamwaka 2012/13 kuwa niwakuridhisha
nakufanya mazao mengi kuingia sokoni
ambapo jumla ya tani 14,383,845 za chakula ziliweza kuzalishwa.
Tani hizo
nipamojana tani zisizokuwa za mazao yanafaka jumla ya tani 7,613,221ziliweza
kuzalishwa na kuingia sokoni wakati jumla ya tani 6,770624 ya mazao yasiyo ya
nafaka yaliweza kuzalishwa .
Akizungumza leo
na waandshi wahabari jijini waziri wakilimo na chakula mhandisi christopher
Chiza alisema mahitaji ya chakula katika
mwaka 2013/14 ni jumla yataani 12,149,120 hivyo kumewezesha kuwa na ziada yatani 2,234,726 ambapo alibainisha kuwa tani
354,015 zilikuwa nizamahindi wakati tani 466,821zilikuwa za mchele jumla yatani
1,413, 890 nakufanya taifa kujitosheleza
kwa chakula asilimia 118.
‘’serikali
imeidhinisha jumla yatani 23,312 za chakula cha msaada ili kisambazwe kwa waathirika 828,063 ambao walionekana kuwa
na upungufu wa chakula katika wilaya 54
za mikoa 16’’alisema waziri Christopher Chiza
.
Waziri chiza
alisema hadi kufikia 9febuary mwaka huu jumla ya tani 6,736.126 za chakula
kutoka hifadhi yachakula zilichukuliw a na jumla yahalimashauri 18 kutoka
kwenye maghala ya kuifadhia chakula nakusambazwa kwa walengwa wenye upungufu wa chakula .
Aliongeza kuwa
hadi kufika febuary 9 mwaka huu jumla yatani 226,769.544 ambapo tani
226,270.862 ni za mahindi na jumla tani
498.682 ni za mtama kiasi hicho kina
jumuhisha albaki 25,452 .644 za msimu
ulopita.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni