Alhamisi, 20 Februari 2014

MSD YATOA UFAFANUZI JUU YA UNUNUAJI PAMOJA NA UAGIZAJI WA MADAWA YA NJE NA NDANI NCHI ILKUDHIBITI DAWA ZISIZO NAUBORA


Na  Timothy  Marko
Imeelezwa kuwa zaidi ya asilimia 80 ya mahitaji yadawa pamoja na vifaa tiba ,vitenganishi vilivyopo nchini vinapatikana vinaagizwa kutoka nje ya nchi hali inayopelekea bohari ya madawa nchini (MSD) kufuata taratibu za manunuzi pamoja na miongozo ya ndani ya nchi na ile ya kimataifa.

Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini,kaimu mkurugenzi wa bohari ya dawa nchini, Cosmas Mwaifwani amesema utaratibu wauingizwaji wadawa nchini huratidiwa nakusimamiwa na mamlaka ya chakula na dawa (TFDA).
Cosmas mwaifani alisiitiza kwamba dawa yoyote kabla ya kuingizwa nchini lazima iwe imesajiliwa na mamlaka ya chakula na dawa pindi inapogombolewa nakuhakisha unakidhi viwango vya ubora .

‘’Dawa yoyote kabla yakuingizwa nchini lazima iwe imesajiliwa na mamlaka nakukaguliwa ilikuhakikisha ubora wake Sambamba na ukaguzi pia bohari ina vitengo vya ndani na udhibiti ubora ilikuzingatia taratibu zamanunuzi ilikuhakikisha viwangovyaubora vilivyowekwa’’alisema Cosmas Mwaifani.
Mwaifani alisema taratibu zamanunuzi katika bohari kama ilivyo taasisi nyingine ya serikali huongozwa nasheria yamanunuzi ya umma yamwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013 .

Aliongeza kuwa taratibu za manunuzi huanza pale ambapo kuna uhitaji wa dawa Fulani kutoka katika vituo vya kutolea huduma ya afya nchini sambamba na mgawo wafedha kutoka kituo husika.
‘’bohari inayo bodi ya zabuni (msd Tender board kwa mujibu wa sheria ya manunuzi yaumma yenye wajumbe ambao niwafanyakazi katika bohari wenye utalaamu tofauti’’aliongeza kaimu mkurugenzi  mkuu Cosmas Mwaifani.

Aidha bwana Cosmas mwaifania alisema njia inaotumika katika manunuzi ya bidhaa nipamojana kupitia zabuni zakimataifa kutokana na ukwelikwamba zaidi yaasilimia 80 hutoka nje yanchi.

Alisema kuwa zabuni yakimataifa iko wazi kwakila mshitiri wandani nanje bila kubaguwa nchi anayotoka nakuongeza kuwa vigezo vinavyozingatiwa mshitiri lazima zabuni nabidhaa yake iweimesajiliwa nchini namamlaka zinazohusika.

‘’utangazaji wa zabuni hufuata nakutumia machapisho ya kimataifa nakitaifa kupitia tovuti za bohari www.msd.or.tz pamojana ile  ya mamlaka yaumma www.ppra.go.tz mamoja nakutumia magazeti ya kingereza nakiswahili ilikuwafikia wote.’’alisema cosmas Mwaifuani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni