Jumatatu, 28 Oktoba 2013

Wadau mbalimbali kujadili mpango mkakati wa bohari ya dawa (MSD) kuanzia mwaka 2014 hadi 2020 jijini Dar es Salaam

    
               







 Picha ni katibu mkuu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii ndugu Charles Pallanyo ,akijadiliana na wadau mbalimbali wa mpango mkakati wa bohari ya dawa jijini Dar es Salaam






Ikiwa ni wakati wa kufungua warsha ya wadau wa kujadili mpango mkakati kati ya bohari ya dawa (MSD),mgeni rasmi ni katibu mkuu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii Ndugu Charles Pallangyojijini Dar es Salaam
 
                Amesemakuwa mpango mkakati kati (2014-2020)  umejengwa katika ngzo kuu tatu ambazo ni kuboresha utendaji ,kuboresha huduma na kukuza biashara pia mpango huu unatarajia kutekeleza malengo kumi yakiwemo kuongeza uuridhikaji wa wateja kupunguza gharama na kuboresha mazingiraya kazi ,baadhi ya malengo ambayo Bohari ya dawa imejiwekea ni kuongeza upatikanaji wa dawa kwa asilimia 95,kuongeza kupatikana kwahuduma kwa wateja kwa asilimia 100 ,kuongeza soko kwa asilimia 80kuhusisha sekta binafsi katika uzalishaji wa dawa ndani ya nchi ,kuongezauwajibikaji kwa watumishi kwa asilimia 100,kuboresha mahusiano na wadau kwa asilimia 95,
                 Aidha ameeleza kuwa kaulimbiu mpya ya mpango mkakatini, 'Okoa maisha ya wananchi Ondoa uhaba wa dawa ,ikiwemo ni moja ya kuwaelimisha wananchi hapa nchini kwa kuonesha juudi zinazofanyika
                

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni