Alhamisi, 9 Februari 2017

WATUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA WAENDELEA KUSOTA RUMANDE JIJINI .

Tokeo la picha la simoni sirro
KAMISHINA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAM CP SIMON SIRRO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA KUKAMATWA VINARA WA MADAWA YA KULEVYA JIJINI (HAWAPO PICHANI)
Timothy  Marko .
BAADA ya Mkuu wa mkoa Paul Makonda kuwataja watuhumiwa 65 wanaotuhumiwa kuhusika na biashara ya madawa yakulevya jana jijini Dar es salaam Baadhi yawatuhumiwa hao wameanza kuripoti katika kituo cha kati katika jiji la Dar es salaam kwa mahojiano maalumu najeshi hilo .

Chanzo cha Mtandao huu kilianza kupataarifa mbalimbali juu yawatuhumiwa hao walioweza kurioti ambapo aliyewasili katika kituo hicho nipamoja na Msanii Wema  sepetu na wengineo huku kiongozi wa kanisa la Gorly Chirst Tanzania  Mchungaji Josephat Gwajima akiwasili majira sita mchana baada kufanya mkutano na waandishi wa habari juu ya sakata hilo .

Aidha katika Eneo la kituo hicho ulinzi uliimarishwa ikiwemo askari waliopo katika eneo hilo kufanya doria wakiwa nasilaha pamoja na gari linalotumika kuwatawanya waandamaji na baadhi yavikosi vya askari wakutuliza gasia wakifanya doria ,sambamba na askari kanzu waliovalia kirahia wakiwa nasilaha wakifnya doria katika eneo hilo .
Katika hatua nyingine Mfanyabiashara Maarufu Yusufu Manji aliasili ilikuweza kufanyiwa mahojiano zaidi juu ya tuhuma za kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya,huku akitoa angalizo kwa baadhi ya waandishi kutomundika vibaya kuhusiana nasakata hilo .
Naye Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo aliyetuhumiwa kauwepo katika orodha ya watu 65Tundu lisu wanahusika na biashara hiyo ya madawa yakulevya Atolewa kituoni hapo nakuweza kupelekwa  katika mahakama yakisutu .

Kamishina wa Polisi wa kanda Maalum ya Dar es salaam SIMON SIRRO aliwaambia waandishi wa habari kuwa ataweza kutoa ufafanuzi wa masuala mbali mbali yanayowakabiliwatuhumiwa hao baada ya kuhusishwa na biashara yamadawa ya kulevya siku yakesho nakuwa ahidi waandishi wa habari waliotinga ofisini kwa mkuu huyo wa usalama wamkoa Dar es salaam Simon SIRRO.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni