Jumanne, 21 Februari 2017

JIJI LA DAR ES SALAAM LAIDHINISHA SHILINGI MILIONI 13 .18

Tokeo la picha la isaya mwita

Meya wa jiji la Dar es salaam Isaya MWITA akizungngumza na baraza la madiwani hawapo pichani mapemajijini DAR ES SALAAM hii leo.

Timothy Marko.
BARAZA la Halimashauri ya ilala jijini Dar es salaam limeidhinisha shilingi milioni 13 .18 Kama bajeti yake katika kipindi cha mwaka 2015/16 fedha hizo zimetokana namakusanyo yakodi mbalimbali katika jiji hilo pamoja naserikali kuu.

Akitoa ufafanuzi juu yataarifa ya mapato namatumizi katika jiji hilo Mkuurugenzi wa jiji la Dar es salaam Jumanne Mtinagi amesema kuwa fedha hizo ambazo nimapato yandani yajiji hilo yanatarajiwa kuwalipa watumishi wa jiji hilo pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo .

''jumla yashilingi 668,403,8480 zitatumika kuwalipa watumishi wajiji la Dar es salaam huku shilingi 4,518,672,618.60 kama  fedhaza miradi ya maendeleo ambapo jumla yafedha 2,312688,817zilizotolewa naserikalikuu zinatarajiwa kuwalipa watumishi waserikali ''Alisema Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam jumanne Mtinagi .
Mkurugezi wa jiji Mtinagi alisema kuwa katika kipindi cha mwaka2016/17 makisio yabajeti katika jiji hilo yalikuwa nishilingi 11,352,641,196ambapo kati ya shilingi 3,595,300,000ni ruzuku kutoka serikali najumla shilingi 7,756,941,196,00 ambazo zimetokana namakusanyo yakodimbalimbali kama mapato yandani sawa na aslimia 60.53 ya bajeti yote .
Alisema kati ya shilingi Milioni hamsini katika bajeti hiyo ziliweza kutumika katika kufanya tahimini naukaguzi wamiradi mbalimbali yajiji hilo huku shilingi milioni 20 zilitumika katika kuandaa mikakati yajiji hilo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo .

''Jumla shilingi 463, 494,00zinatarajia kujenga miundo mbinu na kuweza kufanya marekebisho maeneo mbalimbali ya kituo cha mabasi ubungo na ujenzi unaendelea ,sambamba nakubaini mipaka kusafisha viwanja vya mbezi luis naboko ''Aliongeza Mtinagi .
Naye Mbuge wajimbo laubungo Saidi Kubenea alilitaka baraza hilo kutenga bajeti yakuboresha huduma mbalimbali za jamii katika jiji hilo ikiwemo zahanati nakutaka madiwani wa kata hiyo kuwa na akidi ya wajumbe inayojitosheleza ,

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni