Waziri wa ujenzi Mawasiliano na UCHUKUZI professa Makame Mbarawa |
Timothy Marko.
WAZIRI waUjenzi Uchukuzi naMawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka bodi yashirika la Reli nchini (TRL)Kuwa waadilifu nakuondokana natatizo la baadhi wafanyakazi wanaolihujumu shirika hilo ilikuweza kukuza sekta ya usafirishaji nchini .Akizungumza katika uzinduzi wa bodi yashirika hilo jijini Dar es salaam Profesa Makame Mbarawa ameitaka bodi ya shirika hilo kuwa na ubunifu nakufanya kazi kwa kuzingatia weledi ilikuweza kukuza mapato yashirika hilo ambalo limekuwa ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania .
''Mambo yamsingi ambayo nataka myazingatie ikiwemo suala la uadilifu ninataka kuona kila mfanyakazi wa TRL anakuwa Muadilifu ,ninawataka kuondokana na tatizo lakufanya kazi kwa mazoea nataka kazi inayo fanywa nawatu watatu isifanywe nawatu ishirini ''Alisema professa Makame Mbarawa .
Professa Makame Mbarawa alisema kuwa katika kipindi cha bajeti ya mwaka huu serikali ya awamu yatano imetenga bajeti ya shilingi trioni moja ilikuweza kuboresha miundombinu yareli nchini ambapo Mikoa Morogoro ,Tabora hadi mwanza kwakiwango cha standard gauge .
''Tayari Makandarasi arobaini wameshajipanga juu yausanifu naujenzi wa ujenzi huu wa reli sambamba najenzi wa treni ya pia tutajenga karakana ya kisasa hii ndio TRL ya Mbarawa ''Aliongeza Waziri Makame Mbarawa .
Mwenyekiti wa Bodi ya shirika la TRL Jonh Wanyanja alimshukukuru waziri makame mbarawa kuweza kuiteua nakuweza kuhaidikuwa kutekeleza maagizo yaliyotolewa na waziri huyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni