BANDARI YA DAR ES SALAAM. |
Timothy
Marko.
MAMLAKA ya
Bandarini nchini (TPA) leo imeiendesha mafunzo ya zimamoto kwa wanafunzi wa
kikosi cha zimamoto ilikuweza kukabiliana namajanga mbalimbali yanayoyotokea
bandarini hapo .
Zoezi hilo
la uzimaji moto katika eneo labandari lilijumuisha vikosi vya ulinzi na usalama
ikiwemo jeshi lapolisi ambapo walikuwa wakitoa mafunzo hayo kwa kuzingatia
usalama wawafanyakazi waliopo katika bandari hiyo .
Akizungumza
na wandishi wa habari katika shirika hilo Meneja mawasiliano wa TPA Focus Mauki
amesema mazoezi yauzimaji moto hutolewa na taasisi hiyo kwa taasisi za zimamoto
mara kwamara hivyo aliwataka wafanyakazi washirika hilo kutokuwa nahofu yoyote
MOJA YA MIZIGO IKISHUSHWA KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM |
‘’zoezi hili
hufanya mara kwamara kwani shirika letu limekuwa likipokea mizigo hatarishi
iliyo nakemikali ambazo asilia huwaka na mizigo ambayo haina madhara kwa
wananchi hivyo kwakuzingatia tahadhari hiyo ndio maana leo tumeamua kufanya
mafunzo haya ‘’Alisema Meneja Mawasiliano Focus Mauki .
Mauki
alisemakuwa sambamba nakuwajumuhisha vikosi vya ulinzi nausalama katika mafunzo
hayo pia taasisi hiyo yaumma nchini huwashirikisha taasisi mbalimbali za huduma
za afya ikiwemo hospitali ya muhimbili ilikuweza kukabiliana nadharula yoyote
inayoweza kujitokeza katika mafunzo hayo .
Alisema taasisi
hiyo huwashirikisha vituo mbalimbali nahospitali kuu za wilaya za temeke ilala
nakinondoni hupewa taarifa kama zoezi hilo
hufanyika bandarini hapo .
‘’’KATIKA
suala hili tunavyovikosi mbalimbali vya kutoka serikalini ilikuweza kujionea
juu ya utekelezwaji wa zoezi hilo lauzimajimoto ‘’Alisema Mauki .
KATIKA hatua
nyingine Baadhi ya waandishi wahabari walipata mshituko waghafla pindi walioona
kontena lamizigo limeungua moto nakutaka kulirpoti mbashara lakini walitulizwa
na maafisa bandari na zimamoto kuwa tukio hilo nilakutenge’nezwa kwa ajili ya
mazoezi yauzimaji moto.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni