KAMISHINA WA POLISI WA KANDA MAALUM DSM CP SIMON SIRRO. |
JESHI la polisi jijini Dar es salaam linawashikilia watu ambao hawajulikana majina yao kwa tuhuma zakuwashikilia raia wawili wakutoka china Liu hong(48)ambaye nifanyakazi wacassino Legrand Cassino baada yakutekwa na watu hao baada yakudai yeni 100,000 ilikuweza kuachiwa .
Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Kamishina wakanda maalumu Cp Simoni SIRRO amesema tukio hilo liliotokea october 24 katika hoteli ya Palm Beach UPANGA majira yasaa kumi namoja jioni ndipo polisi walipo pata tarifa wakaanza kugonga mlango wachumba katika hoteli hiyo nawahusika kugoma kufungua mlango wakati atuhumiwa hao wakihjianda kuvunja mlango .
''ASkari walipofika chumba namba 09 waliogonga mlango lakini wahusika waligoma kufungua mlango ndipo polisi walipokundua watekanyara hao wapo katikachumba hicho wakiwa wanajianda kuvunjamlango mara mtuhumiwa wang young jing(37)rai wachina aliamua kufungua mlango na kufanikiwa kumkamata LUIHONG (48)Raia wachina ambaye ametekwanyara '' Alisema KAMISHINA SIRRO.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni