MWANAHARAKATI KWANZA BLOG

Blogu hii makini iko kwa ajili ya kuhabarisha masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Karibuni sana.

  • NYUMBANI
  • MATUKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • BIASHARA
  • KUHUSU MIMI
  • MAKALA
    • MAONI
    • BARUA

Jumatatu, 20 Juni 2016

MULTIPLE CHOICE TANZANIA KUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI WAKE KWA KUVIENDELEZA VIPAJI VYAO.

Conversation opened. 2 messages. All messages read.

Timothy Marko.

KATIKA kuhakukisha sekta ya biashara inakuwa hapa nchini kampuni ya multiple choice Tanzania imemuteuwa Mkurugenzi Maharage Chande kuwa Mkurugenzi wa Taasisi hiyo.

Akizungumza katika uteuzi huo Mkurugenzi wa kampuni yaw a mutiplechoice Maharage Chande amesema kuwa  kuteuliwa kwake kunafuatia hatua ya kampuni hiyo katika kuboresha raslimali watu wa kampuni hiyo inayoongoza hapa  nchini.
‘’Kampuni hii ya multiple choice inalenga kukuza  kampuni ya multiple choice kwa kuwajili watu wenye uwezo ikwemo wenye ujuzi mbalimbali ili kuweza kuakikisha kampuni hii inakuwa kibiashara’’ Alisema Maharage Chande.

Mkurugenzi Maharage Chande alisema kuwa katika kufanikisha jukumu hilo kampuni ya multiple choice imeamua kuwekeza kwa kuinua na kuboresha rasilimari watu kwa kuwaongezea ujuzi mbalimbali ili kuleta matokeo bora ya kampuni.

Alisema kuwa kutokana na kampuni ya multiple choice Tanzania kutambua umuhimu wa kukuza raslimali watu kampuni hiyo imekuwa bora katika ukanda wa kusini mwa afrika pamoja na dunia kwa ujumla katika huduma mbalimbali za kuburudisha na kuelimisha jamii kupitia chaneli zake barani afrika.

‘’Kampuni hii ya multiple choice imekuwa ni bora barani afrika baada ya kutambua vipaji mbalimbali  vya raslimali watu walioajiliwa katika kampuni na kuweza kuviendeleza ili kuweza kuleta matokeo bora katika  kampuni ‘’Aliongeza  Mkurugenzi Chande.






Recent photos
View photo in message
Show details

Press Release - MCT Announcement (2).docx
Displaying Press Release - MCT Announcement (2).docx.
Imechapishwa na Unknown kwa 07:34
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)

WATEMBELEAJI

Popular Posts

  • KAMPUNI YA MISHA EAST AFRICA YAPEWA DHAMANA KUUZA TALES NCHINI NAKAMPUNI YA NIRRO YA KUTOKA USWIS .
    Mkurugenzi mtendaji wa MISHA Bw.Visent B.Minja akiwaonyesha waandishi wa NMT TV  baadhi ya Tiles katika offisi za Mish...
  • JIJI LA DAR ES SALAAM LAIDHINISHA SHILINGI MILIONI 13 .18
    Meya wa jiji la Dar es salaam Isaya MWITA akizungngumza na baraza la madiwani hawapo pichani mapemajijini DAR ES SALAAM hii leo. Timot...
  • UPANGAJI WA VIWANGO VYA ALAMA, MATUMIZI YA ALAMA ENDELEVU YA MWANAFUNZI NA UFAULU
    1.    UTANGULIZI Wizara imekusanya maoni ya Wadau wa Elimu kuhusu Upangaji wa Viwango vya Alama (Grade Ranges) katika Mitihani ya Kuhitimu K...
  • SERIKALI YA ANDAA MPANGO WA AJIRA KWA VIJANA .
    Naibu waziri wakazi vijina ajira nawatu wenye ulemavu nchini Antony Mavunde   Timothy Marko . KATIKA kuhakikisha tatizo la ajira kw...
  • SERIKALI YAPIGA MARUFUKU ''VIGODORO'' KUFANYIKA MITAANI.
    Timothy   Marko. Serikali imepiga   marufuku ngoma zinazovunja maadili ya mtanzania ujulikanao kama’’ vigodolo’’nakusimamisha ngomahizo k...
  • BANDARI YA DAR ES SALAAM YAZINDUA MASHINE YAUKAGUZI WAMIZIGO .
    Timothy Marko.  Katika kuhahikisha sekta ya bandari inakuwa nakujenga uchumi katika nchi ya Tanzania JUMLA ya shilingi bilioni 20.28 zimetu...
  • SERIKALI YA ZITAKA HALIMASHAULI ZILIZO NAKASORO KATIKAUCHAGUZI WASERIKALI ZAMITAA KURUDIA UCHAGUZI.
    Waziri WA tamisemi Hawa GHASIA akizungumza nawaandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam. BAADHI yawaandish...
  • PROFESA MAKAME AITAKA BODI YA POSTA KUKUSANYA MAPATO .
    WAZIRI WA UJENZI UCHUKUZI NA MAWASILIANO PROFESSA M AKAME MBARAWA akisisitiza jambo wakati akizungumza nawafanyakazi washirika la posta ji...
  • SADEC KUJADILI CHANGAMOTO ZA JUMUHIA JIJINI DAR ES SALAAM.
    Waziri wamambo yanje na  jumuhia ya jumuhia ya afrika mashariki Balozi Agustino Mahiga Timothy Marko. WAKATI Tanzania ikiwa Mwenyek...
  • TRA YAINGIA MAKUBALIANO NA ZANZIBAR MAKUSANYO YA KODI.
    KAMISHINA WA MAMLAKA YA MAPATO NCHINI( TRA)ALPHAYO KIDATA AKIZUNGUMZA NAWAANDISHI WA HABARI MAPEMA HII LEO JIJINI DAR ES SALAAM. Timoth...
© 2015 Na. Mwanaharakati Kwanza Blog. Mandhari ya Dirisha la Picha. Inaendeshwa na Blogger.