SHILINGI MILIONI750 ZAKUSANYWA MAY JIJINI ARUSHA .
Timothy Marko.
JUMLA shilingi milioni 750 zimekusanywa kipindi cha mwezi
moja katika Halimashauri ya jiji la Arusha
ambapo makusanyo yafedha hizo zimetokana na tozo mbalimbali kama kodi kwanjia
yamfumo wa kieletroniki unaotumiwa na benki yakibiashara National Microfinance
Bank (NMB).
Akizungumza nawaandishi wahabari kwanjia yamtandao jijini
Arusha Mkurugenzi wa halimashauri yaarusha Juma Idd amesema kuwa makusanyo
yafedha hizo yametokana nakodi za majengo leseni pamoja na maduka mbalimbali
yalipo katika jiji hilo .
‘’Makusanyo haya ya shilingi milioni 750 yametokana najuhudi
mbalimbali za halimashauri yajiji la
ARUSHA kwakuweza kukusanya kodi kutoka kwa wafanyabiashara wa jiji hili la arusha
kwa kutumia njia yamfumo wa kieletroniki ambapo mfumo huu umewezesha kukusanya
taarifa nyingi za walipa kodi katika halimashauri yajiji hili ‘’Alisema
Mkurugenzi Juma IDD .
MKurugenzi IDD amesema kuwa mfumo huo umeweza kuepusha njia
za panya za ukwepaji kodi kwa watumishi wa mamlaka ya ukusanyaji kodi kutoza
kiwango ambacho hakiendanisawa na mapato ya wafanyabishara hao nakuondokana na
kadhia ya wafanyabishara hao kubeba fedha nyingi kuweza kulipa kodi .
Alisema kuwa mfumo huo umeweza kumrahisiashia mlipa kodi
nchini kuweza kutumia hundi ilikuweza kulipa kodi katika manispaa hiyo ya
Arusha ,kwakushirikina nabenki ya NMB Kumewezesha kurahisha ukusanyaji wa
mapato katika halimashauri hiyo.
‘’Mwananchi anaweza kulipa kodi popote kwakutumia mifumo ya
kieletroniki ile risiti yamalipo
inatolewa kwasekunde tisini ambapo awali ilikuwa kwamuda saa moja hadi matatu
njia hii ya ulipaji kodi inafanyika kwanjia ya NMB Mobile pamoja na
kushirikiana namitandao yasimu nchini ‘’Aliongeza MKURUGENZI JUMA IDD.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni