Alhamisi, 5 Mei 2016

MSTAKIKI MEYA AWATAKA WATENDAJI WA MRADI WAMWENDO KASI KUWEZA KUANZA KUTUMIKA KWA DARAJA LA UBUNGO.

Timothy Marko.

Mstahiki meya wajiji la Dar es salaam ISAYA Mwita amewaagiza watendaji wa maspaa yakinondoni kuanza kuruhusu matumizi ya Daraja la ubungo katika mradi wa mwendo kasi DART maramoja ilikuweza kupunguza tatizo la msongamano wa Magari .

 

AGIZO hilo limetokana na ziara aliyoifanya Mstahiki meya huyo mapema hii leo katika manispaa ya kinondoni ambapo aliwataka watendaji wa manispaa kuhakikisha daraja la mradi wa mabasi yaendayo kasi kuweza kutumika ilikuweza kuwa punguzia adha ya msongamano kwa wananchi waliopo katika kata ya ubungo.

''Kwanzia sasa ninatoa maagizo kwamba hili daraja laubungo lamradi wa mabasi yaendayo kasi kuweza kuanza kutumika mara moja ilikuweza kupunguza msongamano wa magari na kuwapunguzia adha yausafiri wananchi ''Alisema Mstahiki Meya ISAYA MWITA .

Katika hatua nyingine mstahiki meya huyo amemsimamisha mtendaji wa kituo cha ubungo JUMA IDD kwakutosimamia mapato yakituo hicho .

Aidha MSTAHIKI meya huyo awataka watendaji wa dampo kuu lililopo Gongolamboto kuweza kutanua maeneo maaalum ya ukukusanyaji taka ilkuweza kupunguza mrudikano wataka katika jiji la Dar es salaam .

aliasema kuwa maeneo ambayo yanayotakiwa kuhifadhiwa takangumu katika eneo la kinondoni  pamoja nakigamboni .

 

katika hatua nyingine mmoja watendaji wa jiji hilo radio yacity radio aliwazuia waaandishi kuweza kuchukua habari katikaredio hiyo kwaminadi yasheria hairuhusu kuingia waandishi wa habari katika kituo hicho.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni