Jumatano, 6 Aprili 2016

WAZIRI WA ITALY ATETA NA JK KUHUSIANA NA MGOGORO WA NCHINI LIBYA.

Tokeo la picha la jakaya mrisho kikweteTimothy Marko
NAIBU waziri wa mambo ya nje wa italy DR.MARIO GILLO amempongeza Rais mstaafu wa jamuhuri ya muungano wa awamu yanne Jakaya Kikwete kutafuta njia za maridhiano wa mgogoro wa libya ili nchi hiyo iwena amani yakudumu na utengamano wa kisiasa .

Akizungumza  na waandishi wahabari mapemaleo jijini Dar es salaamMakamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi SELEMANI MWENDA amesesema kuwa mazungumzo hayo yariyojiri katika ofisi za chama cha mapinduzi yalikuwa nalengo la kutafuta namna ya usuluhuhishi juu ya mgogoro huo nhini libya \
.
''NCHI yalibya kijographia ipokaribu sana na italy na italy ilkuwa koloni lake nilibya hali iliyochangia nchi yaitaly kutafuta uauluhishi juu yamgogoro unaoendelea nchini libya '''Alisema makamu mwenyekiti SELEMANI MWENDA
.
MWENDA alisema sambamba namazungumzo hayo piawaziri huyo amekuja kuvitembelea vituo vya redio uhuru na gazeti lauhuru ilkujua utendaji kazi wa vyombo hivyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni