kamishina mkuu wa TRA ALPHAYO KIDATA. |
Timothy Marko.
Mamlaka yamapato nchini (TRA) imesema kuwa inakabiliwa na mahitaji makubwa ya mashine za EFD ambapo hadi hivisasa inajumla yamashine 5700 wakati mahitaji ya halisia ni mashine 20,0000 ilikuweza kukusanya kodi kutoka kwa wananchi .
Akizungumza katika mkutano wa waandishi wahabari mapema hii leo jijini kamishina wa mamlaka hiyo ALPHAYO KIDATA amesema kuwa TANZANIA inakabiliwa na mipaka mingi hali inayofanya kuwepo kwanjia za panya za upitishaji wabidha za magendo zisizo lipiwakodi .
''Sisi kama TRA tunafanyakazi kwakushirikiana najeshi lapolisi katika maeneo ya baharini tumeimarisha doria katika maeneo yabahari ya hindi ambapo hadi hivisasa tumeweza kusasanya trioni 12.63 kama kodi ''Alisema Kamishina wa TRA Alphayo Kidata .
KAMISHINA kidadata alisema sambamba namakusanyo hayo aliwataka awafanyabishara kuweza kusajili biashara ili kuiwezesha serikali kuweza kupata mapato yaserikali kutokana na kodi .
Alisema kuwa hadi kufikia mwezi march mwakahuu jumla yashilingi trioni 1.306 ilpatikana katikamwezi Desember lakini hadi mwezi march mwaka huu trioni 1.306 ziliweza kusanywa kutokana na kodi .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni