Alhamisi, 21 Aprili 2016

JAJI WARIOBA APONGEZA MWENDENDO WAUCHAGUZI WA 2015 TANZANIA


Jaji JOSEPH SINDE WARIOBA


Timothy Marko.

Mwenyekiti Wa taasisi ya mwalimu Nyerere na wazirimkuu mstaafu wa Tanzania Jaji JOSEPH WARIOBA amesema kuwa mchakato wauchaguzi mkuu wa mwaka jana ulionesha kukukua kwa Demokrasia kwa vyama vya siasa .

Akizungumza katika mkutano wauzinduzi waripoti iliyondaliwa natasisi yautafiti ya Redet Kuhusiana na mwenendo wa uchaguzimkuu uliofanyika mwaka2015 jaji JOSEPH WARIOBA amesema kuwa licha yakasoro ndogo ndogo za uandikishaji wawapigakura zoezi lauchaguzi mkuu wa mwakajana lilienda vizuri ikililinganishwa nachaguzi zilizopita .

''Maandalizi yakampeni yalikuwa mazuri  hata zoezi lakupigakura lifanyika kwa amani nautulivu hata waangalizi wakimataifa kutoka jumuhia yaulaya kwa mara yakwanza waliweza kusifia uchaguzi watanzania wamwaka jana ulienda vizuri ikilinganishwa na uchaguzi wa mwaka2005''Alisema Jaji JOSEPH WARIOBA.

Jaji WARIOBA alisemakuwa sambamba nauchaguzi huo kuwa wamafanikio lakini vyama vyasisa hususan chama cha mapinduzi kilijikuta katika wakati mgumu wakuwasimamisha wagombea kuwania kitichaurais hali iliyochangia uchaguzi huo kuwakivutio kikubwa kwa wananchi .
Alisema Tume yauchaguzi (NEC)iliweza kufanya vizuri licha yatume hiyo kulalamikiwa na wadau wavyama vyasiasa kuwa sio huru ,hatahivyo alidaikuwa tume ya uchaguzi haiwezikuwa huru endapo itatawaliwa na viongozi nawadau wa vyama vyasisa .
''Tume Imekuwa ndogo haiwezi kujiendesha nchi nzima kwamkutumia mkoa mmoja napia nivyema tukaachana na dhanamtumishi wa umma kuwa tuinaitaka tumeitenganishwe kati yamtumishi waumma namtumishi watume wakati huo huo ''Aliongeza jaji Warioba .

JAji WARIOBA aliongeza kuwa nivyema sheria za Gharama yauchaguzi kuweza kuangaliwa kwaupya ilikuwepo nauwiano sawa kati vyama vikubwa navichanga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni