OFISI YA TAKWIMU |
Timothy
Marko.
WAKATI Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Jonh Pombe Magufuli akihimiza watanzania
kufanya kazi imebainika asilimia 71ya watanzania hawafanyi kazi za uzalishaji
ili kujiletea maendeleo .
Kwa mujibu
wa utafiti uliofanywa na ofisi yatakwimu kupitia toleo la utafiti la mwaka 2014
lijulikanalo kama ‘’Intergrated Labour force Survey Analytical Report
imeoneshakuwa zaidi ya watu walipo kati ya umri
wa miaka 15 nakuendelea wamekuwa
wakitumia muda mwingi wa wastarehe ikiwemo kujihudumia nakulala kuliko kufanya
kazi za uzalishaji mali .
‘’Uchambuzi
wa kijinsia ulionesha kuwa wanaume watumia
muda wao mwingi katikashughuli za kiuchumi kwa asilimia 28 huku wanawake
wakitumia asilimia 13 .5 kwashughuli za kiuchumi wakati huo huo wanawake
walitumia muda mwingi washughuli za nyumbani zisizokuwa na malipo
ikilinganishwa na wanaume asilimia 4.4 ‘’Ilisema ripoti hiyo.
Ripoti hiyo
llibainishakuwa hali yaukosefu wa ajira kwawatu wenye ulemavu kati yaumri
wamiaka 15 nakuenelea ni asilimia 12.4 ambapo ripoti hiyo ilidai kuwa kiwango
hicho nikikubwa kuliko kiwango cha kitaifa cha asilimia 10.3
Ilisema kuwa
hali yawanawake wenye ulemavu ni asilimia 14.6 ikilinganishwa na asilimia 9.5ya
wanaume wenye uwezo wakufanya kazi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni