Timothy Marko.
MAMLAKA
yamapato nchini (TRA) kwa kushirikiana na jeshi la polisi nchini lmemkamataPHILI
ULAYA mfanyabishara wa kazi za
wasanii wa nje ya nchi na zakitanzania
kwa tuhuma za kuuza kazi za wasanii hao pasipo nakibali cha kodi cha mamlaka
hiyo .
Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi
wa elimu kwamlipa kodi wa taasisi hiyo Richard Kayombo amesema kuwa mamlaka
hiyo inamshikilia mfanyabaishara huyo kwa kutolipa kodi kwamali zenye thamani
yashilingi milioni 80 .
‘’Mali
tulizokamata kutoka kwa mfanyabishara huyu nipamoja na Cd pamoja na Dvd ambazo
ni kazi za wasanii mbalimbali wakutoka nje na ndani ya nchi ‘’Alisema
Mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi Richard Kayombo .
Mkurugenzi
Kayombo alisema kuwa kutokana na sheria za mamlaka yakusimamia nakusajili kazi
za wasanii nchini (COSOTA )nikinyume cha sheria kusambaza ama kudurufu kazi za
waasanii pasipokuwa nakibali kutoka katika taasisi hiyo .
Sambamba
naukamatwaji wa CDna DVD hizo pia mamlaka ya TRA pamoja najeshi lapolisi lina mshikilia
mfanyabiashara huyo jijini Dar es salaam kata ya Karikoo wilayani ilala
kwatuhuma za kuwa na Mashine tano za kudurufu Dvd za wasanii hao .
‘’Pia
tumemkamata mfanyabishara huyu akiwa na Mashine za kudurufu DVD na cd ambazo huzitumia katika kuuza nakurufu kazi
za wasaanii’’Aliongeza Richad Kayombo .
Kwa upande
wake Phili Ulaya Mdalo ambaye
nimfanyabishara wa CD /dvd Katika jengo LA BUTTERfly
Hotel mjini karikoo a Za wasanii hao alidakiuwa anafanya bishara hiyo kihalali
na amekuwa akilipa kodi lakini amekuwa akizungushwa kupatiwa stakabadhi ya
malipo yakodi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni