Timothy
Marko.
KATIKA Kuhakikisha afya na usalama wa watanzania wizara ya
afya imesema kuwa inatambua mchango mkubwa unaofanywa na taasisi ya mkemia mkuu
kwa kutekeleza uchunguzi wakitalamu wamakosa mbalimbali yakijinai nchini .
Akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya gari la Huduma za
dharura lakituo cha taifa chakuratibu matukio ya sumu jijini Dar es salam waziri
wa afya ,Maendeleo ya jamii,jinsia watoto na wazee Ummy Mwalimu amesema kuwa
ili kuharakisha uchunguzi wa makosa ya jinai nchini taasisi hiyo inayo mchango
muhimu katika kuhakikisha haki katika vyombo vyasheria inapatikana kwakutoa
ushauri wakitalam.
‘’ILI hii taasisi hii iweze iendelee kufanya kazi zake kwa
ufanisi Zaidi uwepo wamiundo mbinu kama vile ikiwemo mitambo vitendea kazi kama
vile magari na majengo bora nisuala linalotakiwa kuwekewa kipaumbele ‘’Alisema
Waziri wa afya Ummy MWALIMU
WAZIRI UMMY alisema kuwa taasisi hiyo inayo majukumu ya
uchunguzi wa sampuli zinzohusiana na makosa ya jinai kama vile dawa za kulevya
,utambuzi wasumu ,watu wanao jihusisha na uhalifu ,utambuzi wa vinasaba
Alisema kuwa unzishwaji wa kanzi data ya watanzania
itawezesha kukabiliana navitendo vyakihalifu nawahalifuhasa walewahalifu
wanaojirudia makossa . .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni