Ijumaa, 12 Februari 2016

WATU ISHIRINI NAMBILI WAKAMATWA KWATUHUMA ZA UJAMBAZI



Timothy Marko.
JESHI lapolisi kanda maalum jijini Dar es salaam  lina washikilia watu ishirini na mbili kwa tuhuma za kujiusisha na tuhuma za ujambazi .
Akizungumza na waandishi wa habari Kamishina wa polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Simon SIRRO amesema kuwa mnamo febuary 10 mwaka huu majira ya saa mbili usiku huko bunju B askari walifanikiwa watuhumiwa waujambazi wapatao kumi na tisa .
‘’Mtoa taarifa ambaye nimfanya biashara alisema alivamiwa na majambazi watatu waliokuwa na mapanga ,marungu ambapo watuhumiwa hao walimshabulia kwa mapanga nakupora shilingi 600,000 nakushambulia Gaudene Patrick  kwa marungu ‘’Alisema Kamishina Simoni Sirro.
Kamishina SIRO alisema kuwa baada yakufanya tukio hilo walikimbia katika eneo latukio kwatumia pikipiki ,aidha jeshi hilo la polisi ninawashikililia  Musa saidi (30)mkazi wambagala kiburugwa ,Mohamed CHINGA(32)mkazi wa madene kwa tukio la uhalifu .
Katika hatua nyingine jeshi hilo limefanikiwa kuamata silaha moja aina ya BASTOLA BROWING yenye namba za usajili A.279112  ambayo imetengenezwa katika jamuhuri ya zec.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni