Alhamisi, 4 Februari 2016

RAIS MAGUFULI AMEMTAKA JAJI MKUU KUWACHUKULIA HATUA WATUMISHI WASIO NAVIWANGO.

Tokeo la picha la rais magufuli

Rais wa jamuhuri wa muungano wa TANZANIA  DK.JOHN MAGUFULI



Timothy Marko.
Rais Wa Jamuhuri wa muungano wa Tanzania DK.JOHN Pombe Magufuli amemtaka jaji Mkuu Othuman Chande kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi 260 wa mahakama hiyo ambao wakukidhi viwango vya utekelezaji wa majukumu yao kama watumishi wa umma .

Akizungumza katika kilele cha  maadhimisho ya siku yasheria yaliyo fanyika mapema hii leo jijini Dar es salam Rais Magufuli amesema kuwa hatua zakuwachukulia hatua zakisheria nisuala ambalo halina mjadala ilkuweza kuhakikisha upatikanaji wahaki unapatikana kwa wakati .

‘’Kama ni Majipu 260 yako ningependa yashugulikikwe kwa haraka illi wale watumishi 900ambao hawakukidhi viwango vina vyotakiwa wachukuliwe hatua
Alisema kuwa iifike wakati mnatakiwa mfanye kazi ili serikali iweze kusongambele nakuwaletea watanzania maendeleo.

Rais Magufuli alisema kuwa utakuta watumishi wataasisi ya mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA)vinatoa vitambulisho visivyo nasaini wakati vitambulisho vya tume yauchaguzi (NEC)vimepatikana vikiwa nasaini nini kinachokwamisha vtambulisho vyataifa kutokuwa na sahihi.

Alisema kuwa vitambulisho vya Taifa vinagharimu shilingi bilioni bilioni 70 havina saini lakini vitambulisho vya tume ya uchaguzi vinagharimu bilioni 11 vinasaini hapo lazima mtuhuyu wavitambulisho vyataifa aweze kushughulikiwa. 

‘’Toeni hukumu kwa haraka kwa haki lakini wanaokiuka sheria hukumu yao iwekwa haraka ,kuna kesi za wakwepaji kodi 442 ghaarama yake nishilingi trioni 1 mnge shughulikia kesi hizi mngeweza kukamamilisha madai yenu kwa wakati ‘’aliongeza Rais Magufuli .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni