Jumatano, 3 Februari 2016

MFUKO WA NSSF YANZISHA MFUMO WA UTOAJI MAONI KWA WATEJA WAKE .

afisa masoko na mahusiano wa NSSF akimkabidhi T shirt mmoja wa wsshiriki wa mfuko wa hifasdhi ya jamii



Timothy Marko .
MFUKO wa hifadhi ya jamii nchini wa NSSF umeanzisha huduma itakayo wawezesha wanachama wake  kuweza kutoa maoni juu yautendaji kazi wamfuko huo .

Akizungumza na waandishi wa Habari Afisa Habari wa Mfuko huo Afisa uhusiano na Masoko Aisha Sango amesema kuwa mfumo huo unaojulikana Happy OrNot unamuwezesha wanachama wa NSSF Kuweza kutoa maoni juu yahuduma alizozipata katika ofisi yake .

‘’Katika mfumo huu mwanachama anaweza kutoa maoni yake juu anavyohudumiwa katika ofisi zetu kwakutumia mfumo wa Happy Or Not anmbapo mteja anaweza kupata hudumazetu katika matawi yetu yaliyopo Kinondoni ILALA ,Temeke’’ Alisema Afisa uhusiano na masoko  Aisha Sango .

AFISA  uhusiano Aisha Sango amesema kuwa uanzishwaji wa huduma hiyo unaelenga kwa wanachama wanaotumia mfuko huo kuweza kupata maelezo mbalimbali ikiwemo ushauri bure kwa kupiga simu 0800756773 kuanzia saa mbili asubuhi hadi sakumi namoja jioni.

Alisema sambamba namfumo huo kuwa wezesha kupatahuduma kwanjia yasimu pia shirika hilo limeanzisha mfumo waulipaji michango kwa wanachama kwanjia yamitandao ya simu .

‘’Lengo lakuhanzisha huduma hii nikuwaondolea kero ya usafiri umbali mrefu kutafuta ofisi za Nssf ilkuweza kuwasilisha michango yake ‘’Aliongeza AISHA sango

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni