Jumanne, 17 Mei 2016

TANZANIA YATAKA WANANCHI WASIPOTOSHWE JUU YAMIPAKA YA NCHI .

Tokeo la picha la ramani ya tanzania na mikoa yake 

Timothy Marko.

KUFUATIA kuwepo kwa mgogoro wa mpaka Kati ya Tanzania na Malawi katika ziwanyasa serikali imesema inaendelea kufanya juhudi za makubaliano juu ya utata uliogubikwa katika ziwa hilo nakusisitiza kuwa mpaka  wa nchi ya malawi na tanzania upo katikati yaziwa nyasa .

  

Akizungumza na waandishi wa Habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Mkurugezi wa Ramani ya Tanzania katika ofisi ya wizara ya ardhi ,nyumba na maendeleo yamakazi Dr.James Mtamayakaya  amesema kuwa  hivi karibuni kumekuwa na upotoshwaji wabaadhi yamipaka ya Tanzania katika ramani nakuweza kuleta sitofahamu kwa Tanzania .

''Kitendo cha kuchapisha ramani  yenye makosa kwa kutumia vyanzo visivyo rasmi nikosa kwa mujibu wa mamlaka ya waziri aliyepewa dhamana yakusimamia sekta ya ardhi ikiwemo masuala ya upimaji na ramani ''Alisema Mkurugenzi James Mtamayakaya .


Mtamakayakaya alisema kuwa Ramani sahii yampaka katika maziwa na mito pamoja nabahari hupita katikati katika eneo husika nasio vinginevyo kama ikiripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari juu yampaka wa ziwa nyasa .

 

Alisema kuwa Ramanisahii yatanzania inapatikana katikamaeneo maalumu yaliyo anishwa nawizarahiyo ikiwemo shirika lanyumba katika manispaa ya TEMEKE .


''Ramani yanchi nilazima itoke kwenye chanzo sahihi ambayo ni wizara yaardhi nyumba ardhi namakazi kumekuwa naupotoshwajimkubwa kwenye mipaka ya Tanzania hususa kwenye mito maziwa kumekuwa naupotoshwaji mkubwa kwenye mipaka inyozunguka ziwanyasa ''Aliongeza Mtamayakaya .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni