Rais wa jamuhuri wa muungano wa TANZANIA DK.JOHN MAGUFULI |
Timothy Marko.
Rais Wa
Jamuhuri wa muungano wa Tanzania DK.JOHN Pombe Magufuli amemtaka jaji Mkuu Othuman
Chande kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi 260 wa mahakama hiyo ambao
wakukidhi viwango vya utekelezaji wa majukumu yao kama watumishi wa umma .
Akizungumza
katika kilele cha maadhimisho ya siku
yasheria yaliyo fanyika mapema hii leo jijini Dar es salam Rais Magufuli
amesema kuwa hatua zakuwachukulia hatua zakisheria nisuala ambalo halina
mjadala ilkuweza kuhakikisha upatikanaji wahaki unapatikana kwa wakati .
‘’Kama ni
Majipu 260 yako ningependa yashugulikikwe kwa haraka illi wale watumishi
900ambao hawakukidhi viwango vina vyotakiwa wachukuliwe hatua
Alisema kuwa
iifike wakati mnatakiwa mfanye kazi ili serikali iweze kusongambele nakuwaletea
watanzania maendeleo.
Rais
Magufuli alisema kuwa utakuta watumishi wataasisi ya mamlaka ya vitambulisho
vya taifa (NIDA)vinatoa vitambulisho visivyo nasaini wakati vitambulisho vya
tume yauchaguzi (NEC)vimepatikana vikiwa nasaini nini kinachokwamisha
vtambulisho vyataifa kutokuwa na sahihi.
Alisema kuwa
vitambulisho vya Taifa vinagharimu shilingi bilioni bilioni 70 havina saini
lakini vitambulisho vya tume ya uchaguzi vinagharimu bilioni 11 vinasaini hapo
lazima mtuhuyu wavitambulisho vyataifa aweze kushughulikiwa.
‘’Toeni
hukumu kwa haraka kwa haki lakini wanaokiuka sheria hukumu yao iwekwa haraka
,kuna kesi za wakwepaji kodi 442 ghaarama yake nishilingi trioni 1 mnge
shughulikia kesi hizi mngeweza kukamamilisha madai yenu kwa wakati ‘’aliongeza
Rais Magufuli .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni