afisa masoko na mahusiano wa NSSF akimkabidhi T shirt mmoja wa wsshiriki wa mfuko wa hifasdhi ya jamii |
Timothy Marko .
MFUKO wa hifadhi
ya jamii nchini wa NSSF umeanzisha huduma itakayo wawezesha wanachama wake kuweza kutoa maoni juu yautendaji kazi wamfuko
huo .
Akizungumza
na waandishi wa Habari Afisa Habari wa Mfuko huo Afisa uhusiano na Masoko Aisha
Sango amesema kuwa mfumo huo unaojulikana Happy OrNot unamuwezesha wanachama wa
NSSF Kuweza kutoa maoni juu yahuduma alizozipata katika ofisi yake .
‘’Katika
mfumo huu mwanachama anaweza kutoa maoni yake juu anavyohudumiwa katika ofisi
zetu kwakutumia mfumo wa Happy Or Not anmbapo mteja anaweza kupata hudumazetu
katika matawi yetu yaliyopo Kinondoni ILALA ,Temeke’’ Alisema Afisa uhusiano na
masoko Aisha Sango .
AFISA uhusiano Aisha Sango amesema kuwa uanzishwaji
wa huduma hiyo unaelenga kwa wanachama wanaotumia mfuko huo kuweza kupata
maelezo mbalimbali ikiwemo ushauri bure kwa kupiga simu 0800756773 kuanzia saa
mbili asubuhi hadi sakumi namoja jioni.
Alisema sambamba
namfumo huo kuwa wezesha kupatahuduma kwanjia yasimu pia shirika hilo
limeanzisha mfumo waulipaji michango kwa wanachama kwanjia yamitandao ya simu .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni