Timothy Marko .
SERIKALI
imewataka wananchi kuweza kujitokeza katika vituo vya afya kupimwa
satarani ili kuweza kufanyiwa uchunguzi
wa ugonjwa huo kabla ya madhara makubwa hayajajitokeza .
KATIBU MKUU wa wizara ya afya na ustawi wa jamii ULISUBISYA MPOKI |
Wito huo
umetolewa na Katibu mkuu wa wizara ya
afya Ulisubisya Mpoki wakati akizungumza nawaandishi wa Habari mapema hii leo
jijini Dar es salaam juu yasiku kongamano maaluum la uelimishaji juu ya ugonjwa
wa saratani ambapo amesema kuwa jumla yawagonjwa 44000 wameweza kugundulika na
ugonjwa huo .
‘’Kati ya
wagonjwa wa saratani asilimia 10 tu ndio hupimwa saratani nakugundulika na
ugonjwa huu wakati huo huo asilimia 80 yawagonjwa hufika wakati wapo katika
hatua yamwisho ya ugonjwa ‘’Alisema katibu mkuu Ulisubisya Mpoki.
Katibu mkuu
Mpoki alisema kuwa katika takwimu zilizopo wanaume wamekuwa wakikumba na
mataizo ya saratani yangozi ,satani tezi dume na wanawake wamekuwa nasaratani
ya shingo yakizazi .
Alisema kuwa
sababu zinazochngiwa kuwepo kwa wagonjwa wengi wa saratani nikuwepo kwa tabiza
mtindo wakimaisha ikiwemo ulevi ,uvutaji sigara na utumiaji wamionzi na miale ya
mashine .
‘’Unene
uliokithiri unaweza kusabisha saratani ,matumizi mengi yasukari nakutofanya
mazoezi ,matumizi yapombe hali inachangia kuaharibika kwa mfumo wa fahamu ‘’Aliongeza
katibu mkuu ulisubisya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni