SERIKALI YA TANZANIA YAINGIA MKATABA WA BILIONI 210 NA JAPANI KUSAIDIA UMEME.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile na Balozi wa japani Nchini Bw.Masaharu Yoshida wakibadilishana hati ya mkataba wa mkopo wa shilingi bilioni 210 kwa ajili ya mradi wa umeme kati ya Tanzania na Kenya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni