Blogu hii makini iko kwa ajili ya kuhabarisha masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Karibuni sana.
Jumatatu, 30 Novemba 2015
DOLA MILIONI 3.4 KUTUMIKA KATIKA KUWASAIDIA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO.
Timothy Marko .
SERIKALI imesema kuwa itatoa dola za kimarekani milioni 3.4 katika kuwasaidia wachimbaji wadogo wadogo katika kipindi cha mwaka wafedha 2015/16 ambapo fedha hizo zitatumika katika kuwapa ruzuku wachimbaji hao ili kuweza kuchangia uchumi napato la taifa .
Fedha hizo zimetokana na ufadhili wa benki yadunia katika kukamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa nalengo za kuwazisadia nchi zilizopo katika uchumi wa kati ambapo Tanzania imeweza kufikia malengo yake katika kuboresha sekta mbalimbali ikiwemo miundo mbinu hali hiyo inaifanya Tanzania kupewa kipaumbele katika utekelezaji wa adhima hiyo .
Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Mkuu wa Mawasiliano wizara ya Nishati na Madini Badra Masoud amesema kuwa katika awamu ya kwanza katika kipindi cha mwaka wa fedha 2013/14 jumla ya dola za kimarekani 500,000 jumla ya vikundi 111 vya wachimbaji wadogo wadogo wanatarajia kunufaika .
‘’KATIKA kipindi cha mwaka wafedha 2014/15jumla yashilingi bilioni 7.2 zinatarajiwa kuwekezwa kwa vikundi 111vya wachimbaji wadogo wadogo wanatarajiwa kunufakia nafedha hizi ‘’Alisema Badra Masoud.
Meneja Mawasiliano Badra Masod alisema kuwa hatua hiyo nibaada yaserikali kubaini kuwa wachimbaji hao hutumia zana duni hali hiyo inatokana nakutokuwa nafedha za kutosha nakutoweza kukidhi mashariti ya taasisi za kifedhakatika kupata mikopo .
Alisema kuwa Ruzuku hizo nikutoana najitihada mbalimbali za serikali ya awamu ya tano katika kuwa kwamua wachimbaji wadago wadogo kuweza kukuza uchumi wao ili kujiletea maendeleo yao .
‘’SERIKALI itaendelea kuwasaidia wachimbaji wadogo wadogo ikiwemo kuwapatia ruzuku na kuhakikisha fedha hizo zinatumika kama ilivyokusudiwa ‘’Aliongeza BADRA MASSOUD.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni