Timothy Marko.KATIKA kupambana na mabadiliko ya tabianchi wadau wa sekta hiyo, wameshauriwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto zitokanazo na madiliko ya nchi ilkuweza kukuza maendeleo yakiuchumi .
Wito huo umetolewa mapema hii leo jijini Dar es salam, na Makamu wa Rais DK Mohamed Ghalibu Bilali Katika mkutano wa tabia nchi uliofanyika mjini Hapa ambapo Makamu Wa Rais aliwataka nchi zajumuhia za ukanda afrika kuwa na ajenda moja katika mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi katika jumu hia yakimataifa .
''Afrika nilazima iwe na ajenda moja katika sura yakimataifa katika kuli shughulikia tatizo la mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo ushiriki wa moja kwa moja katika kuzungumzia changamoto na ufumbuzi wa changamoto hizo katika jumuhia yakimataifa''Alisema Makamu wa Rais Ghalibu Bilali .
Makamu wa Rais Bilali alisema kuwa nchi nyingi katika bara la afrika wamekuwa wakiliwekea msisitizo mkubwa masuala mbalimbali ya kisiasa huku masuala ya tabia nchi na changamoto zake zimekuwa zikiwekwa kando kama ajenda ambayo si muhimu katika ajenda za maendeleo ya kiuchumi.
Alisema kuwa matatizo mengi ya usalama wa chakula naupatikanaji wa chakula katika bara la afrika yanachangiwa na mabadiliko ya tabia ya nchi,watalamu mbalimbali wa sayansi wanao mchango mkubwa katika kutatua changamoto hiyo .
''Nilazima tutengeneze sera madhubuti nakuweza kubadili tabia hatarishi zinazo changiwa uhabifu wa mazingira ikiwemo ukataji miti ovyo ilkuweza kuzuia tatizo la mabadiliko yatabia yanchi '' Aliongeza Makamu wa RAIS.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni