Timothy Marko.IDADI yamauzo ya hisakatikasoko la hisa lajijini Dar es salaam (DSE) imeshuka kutoka bilioni 12 hadi shilingi bilioni 6hali hiyo imechangiwa nauwekezaji mkubwa wahisa kwa baadhi ya wafanyabiashara kwa kununua hisa katika soko la hisa.
Akizungumza na waandishi wa Habari mapema hii leo jijini Dar es salaam,Meneja Bishara wa soko hilo Patrick Mususa amesemakuwa amesema kuwa baadhi ya makampuni yaliyokuwa yakiongoza katika ununuzi wahisa hizo nipamoja na Benki yakibiashara ya CRDB ,swisport ,pamoja na Twiga cement.
''Kiashiria cha soko katika soko lahisa kimeshuka kutoka bilioni 12 hadi kufikia bilioni 9 ambapo hali hii imechangiwa kiashiria cha soko la fedha kushuka wakati huu wanunuzi wengi wa hisa wameongezeka ikilinganishwa na awali ''Alisema Patrick Mmsusa .
Mmsusa alisema kuwa sambamba nahali hiyo wateja wanaweza kununua hisa zao kwatumia huduma ya simu ambapo mteja anaweza kupiga simu *154|\
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni