MAKALA
KUHUSU UKATILI WA KIJINSIA NA WATOTO
Ukatili dhidi ya watoto Tanzania kuenea kwa ukatili wa kijinsi, kimwili na kiakili kwa watoto
Tanzania ,taarifa hii imetayarishwa kupitia mpango wa jeshi la polisi , kutoka kwenye ripoti ya ukatili dhidi ya watoto hapa nchini,
Matokeo ya utafiti kitaifa 2009,muhutasali ya kuenea kwa ukatili wa kijinsia, kimwili na kiakili muktadha ya matukio ya ukatili yaliyotokea utotoni ,UNICEF, Tanzania kitengo cha kuzuia ukatili kitengo cha kitaifa cha kuzuia na kudhibiti ukatili na kuzuia magonjwa ,Chuo kikuu kishirikishi cha afya Sayansi na tiba .
Ukatili wa kijinsia utotoni ,Ukatili wa kimwili utotoni,Ukatili wa kiakili utotoni,tukianza mwingiliano wa ukatili utotoni, pia ni swala la kujadili kuwa ukatili dhidi ya watoto ni nani? wapi? na wakati gani ,pia ni nani atakayetenda ukatili wa watoto? kama tunavyojua walezi na wazazi kiujumla watoto ucheza katika mazingira magumu sana
Chamsingi ningependa kushauli ndugu jamaa na marafiki wote kiujumla tuwe walezi bora ili kuabiliana na matukio ya ukatili katika nchi yetu Tanzania yenye amani na upendo kwa raia wake ,vilevile tunatambua athali za ukatili dhidi ya watoto, kama vile kupata maambukizi ya VVU na magonwa ya zinaa kupitia ubakaji kwa watototo inapelekea kumualibu kisaikolojia
Tukielekea upande pili unyanyasaji na ukatili kuhusu kwa mke na mume,Ukeketaji au tohara ya wanawake ,je Tanzania itafanyaje kuhusu ukeketaji kwa wanawake na wanawake kunyanyaswa katika maisha halisi ya Watanzania,imeonekana wanawake wengi baadhi ya makabila wanawakeketa wanawake wanaamini kuwa wakifanya hivyo ni moja ya jadi zao za kiasili ,mfano wa makabila ni kama Wamasai ,ningeshauli serikali pamoja na taasisi binafsi na za kiserikali wangetoa elimu ya kutosha kwa hao ndugu zetu
Kwa upande mwingine tunaona baadhi ya jamii Tanzania hawahamini kuwa mtoto wa kike pia anastahili kupata elimu ya kutosha na kupndoa imani potofu kuwa mtoto wa kike ni kuolewa tu kwa nia ya kufanya kazi nyumbani akiwa kama mama wa nyumba ,Kupitia serikali ya jamuhuri ya muhungano wa Tanzania naishauri itoe elimu kwa hizo jamii ambazo bado hazjaelimika ,
Hata hivyo ndoa nyingi za ndugu zangu watanzani in kugombana hadi kuhumizana kwa kushikiana siraha vilevile wakati mwingine wanaptezeana maisha ,hasa kwa huyu mwanamke ambaye anakuwa hajasoma ni lazima aweze kunyanyasika kwani jhawezi kwenda sehemu yeyote ,kwa kuwa hajasoma wala hana ujuzi haelewi wapi atapata riziki
Pia nagusia kwa upande mwingine juu ya unynyasaji wa kijinsia kwa upande wa mwanamke kwama vile ikitokea mmojawapo kumuingilia kinyume na maumbile kwa namna yeyote ile iwe kutumia vidole kuingiza kwenye uchi, jamani watanzania tubadilike katika hali hiyo ya kuwaiga wenzetu watu weupe ,pia hali hiyo ni ukatili wa kijinsia ,inapelekea kumkosea Muumba
Tumeona wanaume wachache pia wanalalamika kuhusu manyanyaso ndani ya ndoa nyingi tu ,kupitia mwanamke kumnyima mapenzi mume,na kuweza kumletea zalau ambazo ndani ya nyumbu iliyo kamili si kitu kizuri ,jamani wanawake mmbadilike muwe mnawasikiliza waume zenu kwa mapenzii ya dhati na ndion maisha bora .
Lakini jeshi la polisi kupitia mpangop wa Ukatili wa jinsia na watoto imepanga kupga vita juu ya uktili wa namna hiyo ,pia wanampango wa kuanzisha kituo cha ONE STOP CENTRE ,Katika meneo ya amana ,ambacho kitahusika na maswala ya unyanyasaji wa jinsi na watoto, NaitakiaTanzania maendekeo bora katika swala la unyanyasaji wa ukatuli na jinsi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni