Jumatatu, 7 Septemba 2015

IDADI YA MAUZO YA HISA YASHUKA JIJINI DAR ES SALAAM.

Timothy Marko. KIWANGO cha mauzo ya hisa jijini Dar es salaam kimeshuka kutoka shilingi trioni 21.9 Hadi kufikia Trioni 21.8 hali inayotokana wawekezaji kutovuna hisa kwa muda mrefu .
Akizungumza na Waandishi Habari jijini mapema hii leo Meneja Miradi na Biashara Patrick Mmsusa amesema kuwa kumekuwa na uelewa mdogo kwa baadhi yamakapuni katika kuwekeza katika soko hilo lamitaji la hisa lilopo jijini humo.
"Makampuni Mengi hayajiungi nasoko kutokana nauelewa mdogo nakuwa nahofu juu yakuwekeza na ununuzi wa hisa katika soko lahisa ,Napenda kuwakaribisha makapuni mbalimbalikuweza kuwekeza kuleta miradi yakukuza biashara ''Alisema Patrick Mmsusa
.
Mususa alisemakuwa awali makampuni yalikuwa yakiongoza nipamoja na Yetu Microfinace pamoja Mwalimu Microfinance hatua hiyo imetokana na baadhi makapuni kuwa na hofu katika kujiunga soko lamitaji .
Alisemakuwa nivyema makapuni mbalimbali kuweza kushirikiana navyombo vya habari katika kutoa taarifa za soko la mitaji ilikukuza biashara .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni