Ijumaa, 7 Agosti 2015

RAIS KIKWETE AZITAKA TAASISI ZAKIBENKI KUWASAIDIA WAKULIMA WA DOGOWADOGO.

Timothy Marko.Rais Jakaya kikwete amezitaka taasisi zakibenki kulegeza mashariti katika kuwapatia wananchi mikopo ilikuweza kuondondokana na umasikini ikiwa ni moja ya dira ya maendeleo ya mwaka 2025.
Akizungumza katika uzinduzi wa benki ya maendeleo ya wakulima ADB jijini Dar es salaam mapema hii leo Rais Kikwete amesema kuwa ushindani wa mabenki yakibishara katika kuwasaidia wakulima wadogo wadogo bado umekuwa nihafifu ambapo aliitaja beki ya kibiashara ya CRDB ndio pekee inayotoa mikopo kwa wakulima .
''Ukiachana na benki ya CRDB kwa kushirikiana na SACOSS bado ushiriki wa mabenki kuwa patia wakulima mikopo bado ni mdogo hivyo ni ninaziomba taasisi zakifedha kuweza kusaidia wakulima katika kuwawezesha mikopo itakayo wawezesha kuondokana nakilimo cha jembe lamkono ''Alisema Rais kikwete .
Rais kikwete alisema kuwa nivema wakulima wakaondokana nakilimo kisicho na tija nakuekeza katikilimo chenye tija ilikuweza kupata mazao napia kupata masoko yamazao yao ilkuondopkana na umasikini.
Alisema hivi sasa huduma zakibenki zimekuwa nimuhimu katikakuleta maendeleo hususan kwamkulima anayetumia huduma hizo ilikujiletea tija ya mazao pamoja nakukuza uchumi .
''Kume kuwepo na changamoto kubwa kupata mikopo kwajili yakilimo lakini tumefanya uamuzi wakuona wakulima wanawezeshwa kupata vyanzo vya mikopo ikiwemo SACCOS '' Aliongeza Rais kikwete .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni