Alhamisi, 20 Agosti 2015

MENGI:WAKATAENI VIONGOZI WANAOSAKA MADARAKA KWA KUTUMIA RUSHWA.

Timothy MarkoMWENYEKITI wa taasisi binafsi nchini (TPSF)Reginali Mengi amewataka wananchi kuchagua Kiongozi atakaye chukia maswala ya Rushwa pamoja na vitendo vya ufisadi na kuwaasa wananchi hao endapo watachagua viongozi wanaokumbatia rushwa wasitatarajie kupata haki .
Kauli hiyo aliitoa mapema hii leo jijini Dar es salaam katika mkutano na waandishi wa habari ambapo Mwenyekiti huyo wa makampuni ya IPP alisema kuwa kumekuwepo nabaadhi yaviongozi wakisiasa wamekuwa wakilalamikia suala larushwa lakini wamekosa uwajibikaji kwa vitendo ilkuweza kulikemea suala hilo .
''Tunaona kuna viongozi wanalalamikia suala larushwa lakini hakuna matendo adui wa maendeleo ni Rushwa nilazima tufike mahali kuwa chukia wala rushwa nakuhitaji kiongozi atakaye chukia rushwa ''Alisema Reginal Mengi.
Mengi alisema kuwa ikuweza kuondokana narushwa nilazima jamii iwakatae viongozi wanaotaka kushika madaraka kwa minadi yarushwa ilkuweza kuondokana naumasikini .
Alisema kuwa hakuna jamii iliyoendelea kwa kuwakumbatia viongozi wala rushwa nakusisitiza kuwa ikuleta maendeleo yakiuchumi na kupunguza tabaka walionacho nawsikuwanacho nilazima kuwa nadhamira ya dhati kuwa kataa viongozi wanaotafuta madaraka kwa njia yarushwa .
''Kama tuna taka kukua kiuchumi nakuwa namaendeleo nilazima kuwa kataa viongozi wanaosaka madaraka kwa minadi yakutoa fedha ikuweza kupata uongozi ''Aliongeza Mengi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni