Jumatano, 22 Aprili 2015

DSE YAINGIA MAKUBALANO NHC


Timothy Marko
KATIKA kuhakikisha Mazingira ya soko lahisa nchini yanaimarika katika kukuza uchumi wanchi ,Shirika lanyumba nchini NHC kwa kushirikiana na Soko la hisa Dar es salam DSE, limeingia makubaliano yaujenzi wa makao makuu yasoko hilo unaogharimu kiasi cha Shilingi bilioni 3.366

Akizungumza katika makubaliano hayo mapema hii leo jiijini Dar es salaam Mkurugenzi wa shirika la nyumba nchini Nehemia Mchechu amesema kuwa mradi huo unaotarajiwa kujengwa katika Maeneo ya morocco utakuwa mita za mraba 105,000 unatatajia kukamilika baada ya miaka mitatu .

‘’Makubaliano haya kati ya shirika lanyumba la taifa (NHC)na soko lahisa la Dares salaam (DSE)yanatoa fursa kwa soko lahisa kwa mawakala wa soko la mitaji kuweza kupata fursa yakuwa na jengo lakisasa ‘’Alisema Nehemia Mchechu .
Mchechu alisema kuwa huu ni wakati wa mashirika ya kimataifa na yale yakati kuweza kuchangamkia fursa inayotolewa nasoko hilo lamitaji ilkuwa chachu ya maendeleo  yaweadau wanaofanyabishara katika eneo husika .
Alisema kuwa samba mba mradi huo utajumuisha eneo la kuweza kutua helikopta na eneo lamaegesho yamagari pamoja naeneo la ofisi .
‘’sifa za mradi huu nipamoja kuwepo kwa majengo pacha mawili makubwa  na ghorofa moja ambapo ndani yake kuna ghorofa kumi nasaba ‘’Aliongeza Mchechu .
Mkurugenzi mtendaji wa soko lahisa jijini ,Mollemi Marwa alisema kuwa lengo nakuingia makubaliano na shilika hilo lanyumba nikuweza kujenga jengo katika eneo lamorocco ikuweza kukuza viwango wa taasisi hiyo yakifedha .
Marwa alisema kuwa hali hiyo imetokana uwezo wa soko hilo lahisa kukua na kuleta mabadilko chanya .
‘’Nasisi tumeonelea kwanini tusiwe naeneo Morocco Square mradi huu unameta za mraba 60,5000mradi huu utakuwa nasehemu mbalimbali ‘’Alisema Marwa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni