Timothy
Marko.
JESHI lapolisi kanda maalum jijini Dar es salaam kwa kushirikiana polisi
mkoani pwani linaendesha opereshesheni maalum yakuwasaka watu wanao sadikiwa
kuwa ni majambazi ambao kwakuwa vamia na kuwa uwa askari wawili nakumjeruhi
mmoja nakisha kupora bunduki aina ya SMG.
Akizungumza nawaandishi wa habari jijini mapema hii leo Kamishina wa
kanda hiyo Suleiman Kova amesema kuwa tukio hilo lilitokea March 30 mwaka huu
majira ya saa mbili usiku huko vikindu mkoani pwani ambapo majambazi wapatao
kumi waliwavamia askari hao walikuwa katika eneo lao lakazi katika kijiji cha
kipara kata ya vikindu mkoani pwani
.
‘’Majambazi hao wakiwashambulia ghafla askari hao nakupora silaha aina
ya SMGikiwa na risasi 30 ndani ya magazine na kotokomeza kusikojulikana ambapo
askari wawilayakipolisi mmbagala nipamoja na D.2865 SGT Francis ,E.177CPL
Michael ‘’Alisema Kamishina kova .
Kamishina KOVA alisema kuwa katika tukio hilo askari mwingine mwenye
namba za usajili D.5573 D/SGT ALLY alijeruhiwa na risasi kwa paja la mguu wa
kushoto nakulazwa katika hospitali ya Temeke.
Alisema kuwa askari huyo kabla yakujeruhiwa alipambana vikali na
majambazi kwa kutumia bunduki SMG ambapo walishindwa kumpora askari huyo .
‘’Katika
operesheni hiyo mbinu zote zakipolisi zitatumika vikosi vyopolisi vya pwani
vitafanya oresheni malum ilkuweza kuwa pata majambazi hao ‘’Alionge
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni