baadhi ya wanachama cha wananchi cuf wakihudhuria katika mkutao wakitaifa ulifanyika jijini mapema hii leo
Add caption |
Timothy Marko.
KATIKA kuhakisha vijana wanatatuliwa kero zao
ikiwemo tatizo lakukosefu wa ajira nchini Umoja wa vijana wa chama cha
Demokrasia na maendeleo (BAVICHA )naibu
wa umoja huo Getrude Ndimalema amewataka wajumbe wachama hicho kuwachagua
viongozi watakaweza kutatua Changamoto zinazo ikabili nchi ikiwemo ukosefu wa
ajira hapa nchini .
Akizungumza mapema
hii leo jijini Dar es salaam Naibu wa umoja wavijana wa chama cha Demokrasia na
maendeleo (BAVICHA)amesema kuwa kundi la vijana ndio lenye nguvu kwa hivi sasa
katika kuleta mabadiliko yakiuchumi nakisiasa hivyo lazima kundi hilo
lijitambue nakutokubali kurubuniwa na
wana siasa .
‘’Kama wazee
wachache kama jaji warioba hasikilizwi sasa niwakati wavijana kuchukua nafasi
zetu nakuanza kufanya mbadiliko ili tuweze kujikwamua kiuchumi ikiwemo
kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa naule wamwaka ni kuwaondoa
viongozi dhalimu ‘’Alisema Getrude Ndimalema .
Ndimalema
aliwataka vijana kufanya maamuzi magumu kwakuwatosa viongozi wasikuwa na
mwelekeo wa kuwakomboa nakuwa toa katika changamoto wana zozipitia nakuwataka viongozi
watakao teuliwa nachama hicho kutobweteka nakufanya kazi .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni