Timothy Marko.
KATIKA
kuhakikisha vielezo vya watuhumiwa wa
makosa yajinai vinapatikana kiurahisi ilkuweza kukabiliana natatizo lauhalifu
hapa nchini ikiwemo kuwa baini watuhumiwa wa makosa mbalimbali ofisi yamkemia
mkuu kwakushirikiana nawizara ya afya imezindua maabara ya kisasa itakayo
wezesha kuwa baini watuhumiwa wa makosa
yajinai .
Akizungumza
katika uzinduzi wa jengo la maabara ya sayansi jinai Mapema hii leo jijini Dar
es salaam ,Waziri wa afya na ustawi wajamii Seif Rashid amesema kuwatatizo
lauhalifu limekuwa likikua siku hadi siku hali inayopelekea wahalifu hao
kutumia mbinu za kisasa zaidi hivyo taasisi hiyo ya mkemia mkuu haina budi
kuendana nakasi yamabadilko yakitenolojia ili kuweza kukabiliana nawahalifu hao
.
‘’Serikali
imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali ikiwemo matumizi ya vifaanateknolojia za
kisasa ilkukabiliana na ongezeko la uhalifu na mabadiliko yanayoendana natabia
za wa halifu ‘’Alisema waziri wa afya DK.SEIF Rashidi .
DK
SEIF Rashid alisema kuwa kutokana na ongezeko la matukio ya uhalifu hapa nchini
watalamu waliopo katika ofisi ya mkemia mkuu wamekuwa wakitumia mitambo
inayotumia teknolojia yakisasa ilkuwabaini watuhumiwa wamakosa yajinai .
Alisema
ikuweza kuhakikisha kazi yakubaini watuhumiwa wa makosa yajinai wanapata
vielezo vyakutosha bodi inayohusika katika kupima vielezo hivyo kutoka ofisi ya
mkemia mkuu inapaswa kuzingatia maadili katika kazi yao .
‘’nawapongeza
kwautendaji mzuri serikali inatambua mchango wenu tutaendelea kuutahamini
kwamasuala ya uhalifu nawahalifu ilkuweza kuwapeleka katika vyombo vya sheria ‘’aliongeza
waziri wa afya naustawi wajamii .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni