Timothy Marko
KATIKA
kuhakikisha wakaazi wa jiji la Dar es salaam wanasherekea mwaka mpya kwa amani
nautulivu Jeshi lapolisi kanda maalum jijini humo limewataka kusherekea sikuu
hiyo ya kukaribisha mwaka kwa amani na utulivu .
Akizungumza
jana katika mkutano wa waandishi wa habari jana Kamishina wa polisi kanda
maalum jijini Dar es salaam Suleiman KOVAamesema jeshi hilo litawa chukulia
hatua wananchi watakao piga risasi hewani kwa wale wanaomilki bunduki kisheria.
‘’Tumewaruhusu
kwa wale watakapiga flash ila tumewaruhusu kwa mashariti flash hizo zitapigwa
kwa muda maalum uliopangwa kwa muda wadakika tano tu’’Alisema Kamanda SULEIMAN
KOVA.
Katika hatua
nyingine ,Kamanda KOVA alisema kuwa hivi karibuni jeshi lake lina mshikilia
kuwashikilia mtuhumiwa wa madawa yakulevya .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni