Timothy Marko
Katika
kukuza sekta ya E limu nchini
wananchi wameaswa kuachana kuchangia fedhanyingi katika hafla mbalimbali na
badala yake kuchangia fedha hizo katika kusaidia kukuza sekta yaelimu ambayo ni
nyenzo muhimu katika uchumi wataifa .
Akizungumza
mapema hii jijini Dar es salaamkatika hafla yakuwatunuku hati za wachangiaji wa
mfuko wa elimu nchiniTEA Naibu waziri wa
elimu na mafunzo yaufundi Jenista Muhagama amesema kuwa jukumu lakuboresha
elimu nchini si laserikali pekeyake bali nilakila mwananchi .
‘’jukumu la
kukuza sekta yaelimu nilakila mwananchi nasio serikali pekeyake hivyo kila
mwananchi ana wajibu wakukuza elimu ikiwemo kuchangia michango mbalimbali
katika sekta yaelimu ilikuweza kujikwamu
akatika lindi laumasikini ‘’alisema Naibu waziri Jenista Muhagama .
Naibu waziri
Jenista Muhagama alisema kuwa kumekuwa na baadhi ya wadau mbalimbali ambao
huchangia fedha katika kufanya utafiti juu yamaswala ya kielimu nakusisitiza
kuwa taasisi hizo zina paswa kuungwa mkono nasio kuziachiakazi pekeyake katika
kuboresha sekta elimu hapa nchini .
Alisema
Tanzania imekuwa mstariwambele katika kuwa na mifuko ambayo hutumika kuboresha
elimu ambapo nchi ya Tanzania inajivuniakuwa ni nchi yatatu katika kuwa
namalaka za elimu ikifuatiwa nanchi za Ghana na Nigeria
.
‘’Ilikuweza
kuwa katika nchi zenye uchumi wakati nilazima tuhamasishe teknolojia kwa hiyo
elimu ninguzo muhimu yakutu fikisha huko katika Nyanja za sayansi nateknolojia
hivyo natoa wito kwa kila moja mahali alipo aweze kutengeneza mazingira bora
katika elimu ‘’aliongeza naibu waziri wa elimu .
Katika hatua
nyingine Mkurugenzi wa mamlaka yaelimu nchini Rose mary Lunabuka alisema kuwa
kufuatia wadau mbalimbali kuweza kuchangia mfuko huo hadi hivi sasa jumla
shilingi milioni 12 zimeweza kuchangwa na wadau mbalimbali .
Rose mary
lunabuka alisema kuwa walioweza kuchangia katika mfuko huo wameweza kutoka
katika taa sisi za kiserikali nazile za binafsi ambapo michango hiyo
inalenga kuboresha mabweni kwenye ngazi
awali hadi chuo kikuu .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni