Jumatano, 19 Novemba 2014

TRL YAPOKEA MABEHEWA MABEHEWA 50 KUIMARISHA SEKTA YARELI NCHI

Timothy Marko
KATIKA kuhakikisha sekta ya usafirishaji  inaimarika hapa nchini Shirika laleri limepokea mabehewa hamsini yakubebea makasha ilikuwezesha sekta yaundoshaji makasha kwenda katika nchi za jirani ikiwemo Burundi congo Burundi unaimarika .
Akizungumza katika uzinduzi makasha hayo katika bandari ya Dar es salaam mapema hii leo ,Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini Mhandis kipallo Aman kisamfu amesema kuwa uzindunduzi wa mabehewa hayo unafuatiwa na ununuzi mabehewa mapya 274 ikiwa nalengo yakupunguza msongamano wa makontena bandarini .
‘’Mradi huu ulisainiwa mwezi April mwaka jana kati ya shirika la reli nchini pamoja na kampuni ya Hindustan &industrial Engineering Limitedya india ambapo mradi huu umegharimu jumla shilingi bilioni 45.5 sawa na wastani washilingi milioni 166 kwa kila behewa ‘’alisema Kipalo Kisamfu .
Kipalo Kisamfu alisema kuwa uzinduzi wa mabehewa hayo kunatokana na adhima ya serikali kuimarisha sekta ndogo ndogo ya reli inaimarika ambapo fedha za mabehewa hayo imeshakulipwa naserikali .
Alisema kuwa mabehewa yapatayo hamsini yakubebea mizigo yanatarajiwa kupokelewa bandarini hapo desemba 10 mwaka huu ilkuendana nakasi ya mpango wa matokeo makubwa sasa kama ulivyo ainishwa naserikali ya awamu ya nne kuboresha miundo mbinu hususan reli .
‘’Mabehewa takribani 50 ya kubeba mizigo yanatarajiwa kuwasili 25 january 2015 ikifuatiwa mabehewa 74  ambapo yanatarajiwa kuwasili mwezi febrary 2015 ‘’Aliongeza kipalo kimsafu .
Katibu mkuu wa wizara yauchukuzi Shabani mwinjaka alisema kuwa ongezeko lamabehewa hayo yataweza kurahisha watumiajiwa usafishajiwa makontena kwenda bandarini katika kupunguza msongamano wa makontena .
Shabani mwinjaka alisema kuwa mabehewa hayo yanafuatiwa namatokeo ya makubaliano kati ya serikali ya india katika kuboresha sekta yareli ambapo zaidi mabehewa274 ikiwemo juhudi za serikali kuboresha sekta yareli nchini.’
‘’uzinduzi wa mabehewa 274 yanatokana mradiwa matokeo makubwa katika sekta reli ambapo serikali kwa kushirikiana na nchi yaindia imeweza kufanikisha mradi huu ‘’Alisema MWINJAKA .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni