Timothy Marko
Kufuatia
kuwepo kwa tuhuma zilizoibuliwa nakamati ya bunge ya mahesabu ya serikali kuwa
shilika la maendeleo ya petrol nchini TPDC hatimaye shirika hilo limekanusha
madai yaliibuliwa na baadhi ya wabunge wa kamati ya bunge yamahesabu yaserikali
( PAC).
Akizungumza nawaandshi
wa habari mapema hii leo jijini Afisa
habari wa shilika hilo Maliki
Munisi amesema kuwa kufuatia tuhuma zilizotolewa nakamati hiyo ya kamati ya
bunge ya mahesabu ya serikali PACkuwa tuhuma hizo si zakweli nakudaikuwa
mikatabahiyo ipo bungeni nakusitisitiza kuwa mikataba hiyo inasubiriliwa idhini
nakuwa kunakipengele chasiri bado hakijafuatwa hali inayo chelewesha mikata ba
hiyo kujadiliwa bungeni .
‘’Mikataba
inakipengele cha siri ili mikataba ifuate idhini nilazima kuna baadhi ya
taratibu zina takiwa kufuatwa kabla yakupelekwa
kwenye kamati za bunge ‘’Alisema Maliki Munisi.
Maliki
Munisi Alisema kuwa taratibu zamikataba ya gesi hufanyiwa taratibu za kisheria
kabla mikataba hiyo haijapelekwa kwenye kamati za bunge nakuongeza kuwa nimoja
yataratibu katika taasisi hiyo kabla ijapelkwa bungeni kujadiliwa .
‘’hakuna
kesi kwani inaonesha kuwa kunabadhi yataratibu hazikuweza kufuatwa juu mikataba
hiyo ‘’aliongeza Munisi .
Aliongeza
kama kungekuwa na hatua zinge kuwa zimefuatwa kusingekuwa namatatizo yoyote juu ya mikataba hiyo .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni