Timothy Marko
KATIKA
kuhakikisha Sekta yamiundombinu inaimarika hapa nchini Serikali nawadau
mbalimbali wamaendeleo hapa nchini imesemakuwa itaboresha sekta ya miundombinu
ya reli ikiwemo kuipatia uwezo miundo
mbinu hiyo katika upokeaji mizigo inayotoka katika nchi zilizopo katika ukanda
wa wa afrika mashariki nakati ikiwemo Burundi na jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo .
Akizungumza mapema
hii leo jijini Dar es salam Katibu mkuu wa wizara ya uchukuzi Shabani Mwinjaka amesema kuwa uboreshwaji huo
wa mbinu unaofadhiliwa na benki yadunia unatarajiwa kuanza mwezi novembar mwaka
huu utajumuisha uboreshwaji wa reli ya Dar es salaamhadi Lusaka sambambamba
nareli reli yakigoma .
‘’katika
kukamilisha mipango yamatokeo makubwa sasa serikali kupitia wizara yauchukuzi
tunayomikakati yakuboresha miundo mbinu ikiwemo kuimarisha bandari kwa
kushirikiana benki ya dunia ‘’Alisema Shabani Mwinjaka .
Mwinjaka
amesema kuwa sambamba namikakati hiyo pia serikali kupitia wizara hiyo ipo
katika mpango wa kuboresha miundombinu ya bandari ya bagamoyo ambapo jumla
shilingi milioni 2.9 zitatumika kufanya upembuzi akinifu .
Amesema
katika kipindi chamwaka 2013/14 jumla shilingi bilioni 7.29 Zimetumika katika
kuwalipa wakandarasi mbali mbali wa miundombinu ya barabara sambamba na
makubaliano ya mikataba ambapo mikataba hiyo itafanywa kabla bajeti kuupangwa.
KATIKA hatua
nyingine serikali imesema kuwa katikakupambana natatizo la msonngamano wamagari
jijini hapa imesemakuwa imeagiza vichwa takribani 13 vya reli ilkuweza
kuboresha sekta yareli ambapo vichwa hivyo vinatarajiwa kuagizwa kutoka afrika
kusini .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni