Jumanne, 4 Novemba 2014

TPDC YA KANUSHA TUHUMA ZILIZO IBULIWA NAKAMATI ZA BUNGE .

Timothy Marko
Kufuatia kuwepo kwa tuhuma zilizoibuliwa nakamati ya bunge ya mahesabu ya serikali kuwa shilika la maendeleo ya petrol nchini TPDC hatimaye shirika hilo limekanusha madai yaliibuliwa na baadhi ya wabunge wa kamati ya bunge yamahesabu yaserikali ( PAC).

Akizungumza nawaandshi wa habari mapema hii leo jijini Afisa  habari wa shilika  hilo Maliki Munisi amesema kuwa kufuatia tuhuma zilizotolewa nakamati hiyo ya kamati ya bunge ya mahesabu ya serikali PACkuwa tuhuma hizo si zakweli nakudaikuwa mikatabahiyo ipo bungeni nakusitisitiza kuwa mikataba hiyo inasubiriliwa idhini nakuwa kunakipengele chasiri bado hakijafuatwa hali inayo chelewesha mikata ba hiyo kujadiliwa bungeni .

‘’Mikataba inakipengele cha siri ili mikataba ifuate idhini nilazima kuna baadhi ya taratibu zina takiwa kufuatwa kabla yakupelekwa  kwenye kamati za bunge ‘’Alisema Maliki Munisi.

Maliki Munisi Alisema kuwa taratibu zamikataba ya gesi hufanyiwa taratibu za kisheria kabla mikataba hiyo haijapelekwa kwenye kamati za bunge nakuongeza kuwa nimoja yataratibu katika taasisi hiyo kabla ijapelkwa bungeni kujadiliwa .

‘’hakuna kesi kwani inaonesha kuwa kunabadhi yataratibu hazikuweza kufuatwa juu mikataba hiyo ‘’aliongeza Munisi .
Aliongeza kama kungekuwa na hatua zinge kuwa zimefuatwa kusingekuwa  namatatizo yoyote juu ya mikataba hiyo .



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni