Timothy Marko.
Naibu waziri wa mambo yandani yanchi Pereira Silima amewataka vijana kujiepusha na vitendo vya uhalifu ikiwemo kujingiza katika makundi yakihalifu ikiwemo ujambazi wizi na madawa yakulevya kwani kufanya vitendo hivyo huweza kulimong’onyoa taifa nakulifanya taifakutokuwa namaadili.
Akizungumza katika maadhimisho yawahitimu wa mafunzo ya askari wazimamoto jijini Dar es salam mapema hii leo naibu waziri Pereira SILIMA amewataka wahitimu hao kuachana navitendo hivyo kwani vitendohivyo huweza kuwapelekea kuchukuliwa hatua zakisheria ikiwemo kufukuzwa kazi nakufungwa jela .
‘’Jambo hili laweza kuatisha malengo yenu pale mtakapo anza kujiningiza katika vitendo vyakihalifu ikiwemo kudai nakupokea rushwa hali huweza kupelekea kufukuzwa kazi’’Alisema Naibu waziri peirra silima .
SILIMA alisema kuwa vijanawengi wemekuwa wakijingiza katika vitendo vyauhalifu ikiwemo ujambazi uuzwaji wa madawa yakulevya kushilikiana namagaidi hali ambayo huliweka amani yataifa letu kuwa tete hivyo vijana hao wasithubutu kujingiza katika vitendo hivyo kwa nihatari kwa taifa .
Alisema vijanawengi wemekuwa wakijiingiza katika vitendo vya uasharati naulevi haliambayo inawafanya vijana wengi kuweza kutimiza malengo yao kwani wengi wao huangukia katika matatizo ikiwemo magojwa ikiwemo ukimwi .
‘’serikali haitovumilia mtumishi mwenye tabia Ya ulevi hivyo lazima atapoteza ajira kilamwaka serikali imekuwa ikipoteza watumishi wengi kutokana na ukimwi ‘’Aliongeza silima.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni