Jumatano, 29 Oktoba 2014

WAZIRI WAFEDHA :HALI YA UMASIKINI IMEPUNGUA NCHINI.


Timothy Marko
Waziri wafedha mheshimiwa saada mkuya amezindua ripoti maalum inayohusiana na maswala ya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya binafsi ya mwaka 2011/12 ambapo ripoti hiyo imelenga kutoa viashiria vinavyohitajika katika mapambano ya umasikini na kuboresha hali ya kimaisha kwa wananchi .
Akizindua ripotihyo jijini mapema hileo Waziriwa fedha Saada MKUYA amesema kuwa hali yaumasikini imekuwa ikipungua siku hadisiku ambapo katika kipindi cha mwaka 2007 umasikini umepungua kutoka asilimia 34 .4 hadi kufikia 28.2 kwamwaka 2012 katika utafiti huo pia ulioneshakuwa jumala ya shilingi 36,482 zinahitajika katika kukidhi mahitaji yamsingi ya mtu moja kwa mwezi moja ikilinganishwa shilingi 19,201 kwa mahitaji yaina hiyo mwaka 2007.
‘’katika chapisho hili linaonesha mwenendo wa hali yaumasikini namakundi yaliyo athirika ambapo umasikini umepungu akutoka asilimia 34.4 kwa mwaka 2007 hadikufikia 28.2 mwaka 2011/12 ambapo kiasi chashilingi 36,482 zilihitajikakukidhi mahitaji ya mtu moja kwa mwezi mmoja shilingi 19,201 kwa mahitaji yaina hiyo katika kipindi cha mwaka 2007’’Alisema Waziri SAADA  MKUYA.
Waziri saada mkuya alisema kuwa sambamba nahali yaumasikini kupungua pia kumekuwa na ongezeko laudahili wa wanafunzi waliojiunga na elimu ya sekondari kutoka asilimia 15.0 kwakipindi cha mwaka 2007 hadi asilimia 30.0 kwa mwaka 2011/12.
Alisema katika ripoti hiyo imeonesha kuwa kiwango cha watu wanajua kusoma na kuandika kimeongezeka kutoka asilimia 77.2 kwakipindi cha mwaka 2012 ikilinganishwa asilimia 72.5 mwaka 2007.
‘’Katika eneo la sekta ya afya idadi yawatu wanaopata huduma za zahanati imeongezeka kutoka asilimia 41.6 mwaka 2007 hadi asilimia 55kwakiipindi cha mwaka 20011/12 ‘’aliongeza  saada mkuya .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni