Jumatano, 22 Oktoba 2014

TANZANIA KUNUFAIKA NAVIWANDA VYA KUZALISHA GESI .

Timothy Marko.
Katika Kuhakikisha Sekta ya gesi inaimarika hapanchini Tanzania kwakushirikiana nauingereza  imefikia makubaliano juu uwekezaji wasektahiyo hapanchini ikiiwemo kuanzisha viwanda  vinavyo husiana na maswala yagesi ilkuweza kukuza ajira zitokanazo nasekta hiyo.
Akizungumza nawaandishi wahabari  mshauri wa masuala ya biashara zakimataifa kutoka uingereza David Billingsby amesema kuwa moja yakampuni ambazozinatarajiwa kuwekeza hapa nchini ni pamoja na makapuni yavipuli mbalimbali nakampuni za utoaji waelimu Ambapo pia kampuni hizo zinatarajia kukuza ajira kwa watalamu wakitanzania.
‘’Wawekezaji wa kutoka uingereza wamelenga kuisaidia nchi ya Tanzania katika kukuza uchumi  ikiwa kuanzisha makapuni mbalimbali ambazo kampuni hizi zimelenga kutoa fursa kwa watanzania za ajira hususan makampuni yagesi ‘’Alisema David Billingsby
Billingsby alisema kuwa kampuni ambazo zitatoa elimu kwawatalamu wagesi zinatarajiwakuwa mbili nakuongeza kuwa kunauhusiano mkubwa wabiashara na wa talamuwazawa kujikita katika sekta ya gesi na mafuta .
Alisema Tanzania imekuwa nahali nzuri yakibishara hivyo imeweza kuwavutia wawekezaji hao kujakuwekeza nchini Tanzania nakusitiza moja ya hali hiyo nimahusiano mazuri ya nchi hiyo na Tanzania pamoja na amani nautulivu uliopo hapa nchini umeweza kuwafanya wekezaji hao kuwekeza nchini Tanzania.
‘’Tanzania inahali nzuri yakibishara hii imesababishwa na mazingira yaliyopo nchini Tanzania kuwavutia wawekezaji wengi wakutoka uingereza ‘’Aliongeza Billingsby.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni