Timothy
Marko.
Kufuatia Kuwepo kwa taarifa za utekanaji nyara watoto kwa baadhi ya wahalifu kuwa teka watoto
hao ambao wanaosoma shule za msingi kwa
kutumia magari yanayojulikana kama Noah yaaina nyeusi,Jeshi lapolisi kanda
maalum limekanusha madai hayo yaliyotolewa na wazazi ambao wanafunzi wake
wanasoma katika shule hizo .
Akizungumza
nawaandishi wa habari mapema hii leo jijini,Kamishina wa kanda maalum jijini
Dar es salaam Suleimani KOVA amesemakuwa uvumi huo kuwa magari ya aina hiyo
hutumika kuwateka wanafunzi ikiwemo na kuwa chuna ngozi wanafunzi hao na
madhara mengine madai hayo si yakweli
bali ni uvumi tu nahayana ukweli wowote .
‘’Mpaka
sasa Jeshi la polisi halina taarifa yoyote ya mtoto yeyote kutekwa au kufanyiwa
madhara yoyote kwa mtindo wautekaji nyara ,pia jeshi hilo limegundua kwa mba ni
uvumi lakini bado alijagundua chanzo chake hivyo wananchi hamna budi kuwapuuza
wanaoeneza uvumi huo ambao unaleta hofu zisisizo za msingi’’Alisema kamishina
Suleimani kova .
Kova
alisema uvumi huo umeanza kuleta usumbufu ambapo 3october Mwaka huu majira
yasaa tatu asubuhi mtumoja ajulikanaye PROSPER Makame (34)mfanya kazi wa
kampuni ya the Guardian Limited mkazi wa tabata akiwa namkewe MARY STELLA
MUNIS(30)ambaye nimfanyabishara wavyombo vyanyumbani walifika maeneo yashule
yamsingi kombo iliyopo vingunguti kwajili yakuchukua pesa zavyombo wakiwa aina
gari aina yanoah yenye namba nyeusi
yenye namba T252 DAY rangi nyeusi.
Alisema
Ghafla watuwasiojulikana wapatao mia moja walivyamia gari hilo kwamadai kuwa
ndio linalowateka wanafunzi hao ndipo mtoa taarifa alipoona hali ni tete
aliamua kupiga simu polisi hatimaye watuhao walifiki shwa katika kituo cha
buguruni wakiwasalama na gari lao.
‘’Jeshi polisi kanda maalum lina sisitiza kuwa kuwa uvumi huu kuwepo
kwakikundi cha uhalifu cha kuwa teka wanafunzi washule za msingi si za kweli
hata kidogo hivyo wananchi mnapaswa kuwa wavumilivu ‘’.Aliongeza kamanda kova .
Katika
hatua nyingine jeshi hilo limethibitisha kutokea kwa vifovyawatu kumi nasita
huko mbagala charambe kufuatia kulipuka tanki lakubebea mafuta yapetroli lenye
namba za usajiliT347BXG maliMOIL TRANSPOTER
lilokuwa likielekea nchini Uganda .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni