Ijumaa, 26 Septemba 2014

TROTWU YAITAKA SERIKALI KUCHUNGUZA MIKATABA YA MADEREVA KUPUNGUZA AJALI


Timothy Marko
CHAMA cha wafanyakazi wa usafirishaji kwanjia yabarabara nchini (TAROTWU)kimeiomba serikali  kupitia mamlaka ya usajirishaji wamajini nanchi kavu (Sumatra)kuweza kuchunguza baadhi ya mikataba yaajira kwa  madereva ilikuweza kupunguza tatizo la ajali za barabarani.
Akizungumza nawaandishi wa habari  mapema hii leo jijini Katibu wa chama hicho Salum Abdallah amesema kuwa kutokana kuwepo kwaajali nyingi hapanchini chamaihicho kimeonelea kuwa Baadhi yamikataba yaajira nilazima kuchunguzwa na wizara yakazi na ajira,Sumatra pamoja nachama hicho .
‘’Tunaiomba wizara yakazi najira iweze kusimamia na kudhibiti mikataba yakazi kwamadereva kwakushirikiana na TAROTWU pamoja na SUMATRA napia tunapendekeza bima ya dereva na kadi NSSFiwe nisehemu ya mkataba wajira napia pawe nauhakiki wa pamoja idara ya kazi ,Sumatra ,tarotwu’’Alisema Salum Abdallah .
Salum ABDALLAH alisemakuwa kupita wizarahiyo pia ifanye ukaguzi wa leseni za madereva pamoja na vyeti vyamafunzo kwakuwa shirikisha mamlaka ya mapato nchini TRA ,chuo cha usafirishaji nchini na VETA  ilkuweza kukaguliwa vyeti vinavyotoka katika vyuo hivyo .
Alisema kuwa wanao kiuka tararatibu katika upatikanaji wa leseni JESHI la polisi nchini liwachukulie hatua za kisheria ikiwemo kuwa peleka katika vyombo vyasheria ikiwemo mahakama kuwachukulia hatua wanao kiuka sheria za usalama barabarani .
‘’ tunaliomba jeshilapolisi liwakamate wanaokiuka sheria za bara barani ikiwemo kuwafikisha mahakamani ilisheria ichukue mkondo wake ‘’Aliongeza ABDALLAH
Abdallah aliongeza kuwa piakuwepo nakukaguzi wamagari kwakushirikiana kikosi cha usalama barabarani chuo chausafirishaji na tamesa pamoja namamlaka usafiri wa nchikavu namajiniSUMATRA ilikupunguza ajari barabarani

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni